Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vita ya Ukraine imeifanya Russia na Putin kupoteza ushawishi kwa kiasi kikubwa Sana.Putin anamaliza uzee vibaya ..juzi rais wa UZBEK was not in airport to welcome mr Putin, alimtuma prime minister
Haijawahi kutokea a Russian president kupokelewa na mtu asiye Head of state in former USSR countries.
Hii ni ishara tosha kuwa Putin now weigh less,
Uzbek president alienda kumpokea Xi
Kama mtu mzima hujiheshimu madogo na watoto watakudharau twiceVita ya Ukraine imeifanya Russia na Putin kupoteza ushawishi kwa kiasi kikubwa Sana.
Hata Mimi hicho kitu kimenishtua Kwa kweli,Yani Xi kapokelewa na Mkuu wa nchi halafu Putin kajua kupokelewa na PM,dharau ilioje.
@triga akiona hii atasema ni propaganda za westPutin anamaliza uzee vibaya ..juzi rais wa UZBEK was not in airport to welcome mr Putin, alimtuma prime minister
Haijawahi kutokea a Russian president kupokelewa na mtu asiye Head of state in former USSR countries.
Hii ni ishara tosha kuwa Putin now weigh less,
Uzbek president alienda kumpokea Xi
View attachment 2359917Jamaa alionywa lakini
Endeleeni kujifariji watu wamemaliza kaziVita ya Ukraine imeifanya Russia na Putin kupoteza ushawishi kwa kiasi kikubwa Sana.
Hata Mimi hicho kitu kimenishtua Kwa kweli,Yani Xi kapokelewa na Mkuu wa nchi halafu Putin kaja kupokelewa na PM,dharau ilioje.