EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
Naomba niwe mkweli. Mimi enzi hiyo nikitoka na mshua naenjoi saana yaani; kila kitu ntanunuliwa na iwe icecream, juisi, karanga nguo, viatu fresh ila maza alikua anabana saana aisee.
Hebu nipe upande wako nani ulifurahi kutoka nae, Maza au dingi?
Kikao kimeanza
View attachment 1796137View attachment 1796139View attachment 1796138
Hebu nipe upande wako nani ulifurahi kutoka nae, Maza au dingi?
Kikao kimeanza
View attachment 1796137View attachment 1796139View attachment 1796138