Turudi nyuma utotoni, huwa una-enjoy ukitoka/kusafiri na baba au mama?

Na baba, kila nilichokuwa nataka napewa plus nakaa siti ya mbele na kuna mda alikuwa ananipakata nashika uskani naendesha.

Bi maza mtu wa misele ambayo haina tija na menu hupati mpaka mrudi home.
We kama mwanangu maana anapenda saana kushika stering wakati naendesha big- up saana kwa mshua
 
Mimi wote nilikua nafurahi kusafiri nae, ila mother nilikua na-enjoy zaidi hasa kwenye ishu za Kula kama vile juice, biscuit, chips wali. Father yeye zaidi nilkua na-enjoy kununuliwa nguo mpya kila tukisafiri..
 
Jamaa unadanganya aisee so mshua alikua anabana??[emoji848][emoji848][emoji848]
 
Mimi wote nilikua nafurahi kusafiri nae, ila mother nilikua na-enjoy zaidi hasa kwenye ishu za Kula kama vile juice, biscuit, chips wali. Father yeye zaidi nilkua na-enjoy kununuliwa nguo mpya kila tukisafiri..
Mzee baba hataki mambo ya kufuafua ananunua nyingine[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sasa mnataka kufanya wengine tulie tu hapa, mtoko wa nje ya nchi mara zote tunasafiri na bi mother. Mdingi yeye local tu ila wee acha tu. Kila mmoja na raha yake na wakati wake

Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
 
Kweli mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…