Turudi utotoni kidogo, umemiss nini?

Turudi utotoni kidogo, umemiss nini?

zagarinojo

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2020
Posts
2,622
Reaction score
2,846
Leo nimeamua niwarudishe utotoni najua kabisa kwa sasa umri umekwenda na hauwezi rudi nyuma kamwe ila Kipindi kisichosahaulika ni Cha Utoto

Utoto ni Kipindi ambacho wengi walikifurahia kutokana na mambo kadha wa kadha..Mengine ya kusimuliwa na wazazi lakini Mengine yale ambayo unayakumbuka wewe mwenyewe

Wakati Mwingine kulingana na shida za dunia kuna kipindi unafikiria bora ungerudi utotoni na Kuuna baadhi ya Mambo unaya miss...Mambo kama Vile Michezo Ya "Baba na Mama"

Tukumbushane Kidogo mambo Uliyofanya utotoni mwako yawe ya Kusikitisha au Kufurahisha...Ilimradi tu iwe utotoni

Je wewe Hapo Ulipo ni Mambo Gani Unayakumbuka vya Utotoni? Tukumbushane Kidogo Coz hatuwezi Rudi Utotoni Tena[emoji3571][emoji3571][emoji3571][emoji3571][emoji3571]
 
Kuna siku nilimtukana rafiki yangu halafu yeye anambavu fulani hivi mimi kimbaumbau japo si kihivyo!,tusi lilikuwa zito tukaanza ligi za mbio.. kimbia naona jamaa yupo nyuma tu! Kila nikitazama kimtu kupo tu
Sasa ubovu nilikuwa nimeshika uelekeo wa nyumbani nikaona nikikimbilia nyumbani utakuwa msala nikaamua nimalize kiume nikasimama nikakaa chini!.. nilichezea kipigo then nikaenda zangu skani natamani kulia lakini najikaza tu maana mwana kulitafuta mwana kulipata..😂
 
hahahahahh kuna siku nilifanya kosa adhabu ikawa kutokunywa chai....then chai ya maziwa....

umefika muda wa tea nilibeba mchanga nikaona isiwe shida nikamwagia kwenye sufuria ndukiii[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mtoto anamiss nini zaidi ya wali maharage?

Wali maharage tuuu[emoji23][emoji23]
Nilikuwa na umri wa darasa la kwanza 1984,nilipata ugonjwa ambao nilitakiwa nitibiwe kabla ya kuanza shule(ugonjwa:chini ya kifua mbavu zinakoshia uwa kuna kajitu kanakaba mpk unakaa chini kwa maumivu,jina nimesahau).Sasa ikabidi nipelekwe kwa bibi yangu mbali km 180kms toka home kwa ajili ya matibabu ya kienyeji kwa bibi.

Nimefika huko nilikuta mama mdogo ndo amemaliza form IV yupo home,kwa sababu nilikuwa mdogo nikaambiwa niwe tunalala wote,ebwanaee ilikuwa ikifika night napandishwa kwenye Ngawila nashughulishwa weee, akichoka nashushwa,usiku wa manane narudishwa naendelea na kazi kwa miezi kadhaa.Si mnajua tena mimi nilikuwa sitoi chochote msumari umesimama mwanzo mwisho,alikuwa ananifaidi sna.

Nimepona kidogo nigome kurudi home nataka kusomea kwa bibi.Madhara niliyoyapata baada ya hapo nilirudi home nikiwa na ujasiri nikawa mhamasishaji wamichezo ya kujificha ya baba na mama

Anyway utoto raha,namwonaga aunt kwa sasa amezeeka halafu anadhani nimesahau kumbe hii ilijijenga kichwani hadi leo hii
 
Nimemiss kudinya mtoto wa mtu wakati wa Komborera [emoji4]
 
Oya baba na mama mixer kupeleka watu kwa mparange aiseee Mungu anisamehe sana
 
Back
Top Bottom