zagarinojo
JF-Expert Member
- Jul 26, 2020
- 2,622
- 2,846
Leo nimeamua niwarudishe utotoni najua kabisa kwa sasa umri umekwenda na hauwezi rudi nyuma kamwe ila Kipindi kisichosahaulika ni Cha Utoto
Utoto ni Kipindi ambacho wengi walikifurahia kutokana na mambo kadha wa kadha..Mengine ya kusimuliwa na wazazi lakini Mengine yale ambayo unayakumbuka wewe mwenyewe
Wakati Mwingine kulingana na shida za dunia kuna kipindi unafikiria bora ungerudi utotoni na Kuuna baadhi ya Mambo unaya miss...Mambo kama Vile Michezo Ya "Baba na Mama"
Tukumbushane Kidogo mambo Uliyofanya utotoni mwako yawe ya Kusikitisha au Kufurahisha...Ilimradi tu iwe utotoni
Je wewe Hapo Ulipo ni Mambo Gani Unayakumbuka vya Utotoni? Tukumbushane Kidogo Coz hatuwezi Rudi Utotoni Tena[emoji3571][emoji3571][emoji3571][emoji3571][emoji3571]