Tusabuni ka guest kiwe kikubwa jamani

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Mmmhhhh najua yawezekana ni siku nyingi sijaenda lakini hope kwa wale wa current members wanaweza shauri hili ...kuna visabuni vidogo vidoo hasa lodge za sinza sijui wanabana ama lah

kwa kweli kwa pesa wanayotoa watu si vyema wakawaachia sabuni kubwa ama hataikiwezekana wawanunulie za alovera original...kama kuna mwenye lodge namkaribisha forever member.....

Leo hii nikaona si mbaya kama uko jamvini ama una ndugu ana guest ama lodge mkumbushe aweke sabuni kubwa za kawaida sio wanachukua sabuni wanakata vipande vya rum kumi walahi kama unajipanguse yaani jiiiiiiiipanguse shwa shwa...nafikiri inawezekana wanahisi watu wanaondoka nazo lakini imefika wakati mjue si wote na wengi wanakuja uko kwa sababau ya wizi na si just kustarehe starehe wanazipata kwa wake zao

tunashukuru kama mtajirekebisha kwa hili
 
Mimi sina shida na ukubwa...the odour, big problem...
 
teehhh tehhhh yaani kuna harufu nyingine utasema shetan kasingiziwa kumbe basi tu
 
me nadhani hizo sabuni ndogo zimetengenezwa maalum kwa ajili hiyo ziwekwe matotelini na kwenye hizo nyumba za wageni, kwani wanadhingatia afya ya mtumiaji,
1. Unaingia hotelini ama gesti hausi unakuta sabuni imelowa majimaji utaweza kuitumia??
 
Ya tule tusabuni JS....smells a mile away.
Naomba nirudie tena, hiyo avatar....

Imefanyaje avatar yangu Roya?hujaipenda nirudishe ya mkia mmh???????
 
me nadhani hizo sabuni ndogo zimetengenezwa maalum kwa ajili hiyo ziwekwe matotelini na kwenye hizo nyumba za wageni, kwani wanadhingatia afya ya mtumiaji,
1. Unaingia hotelini ama gesti hausi unakuta sabuni imelowa majimaji utaweza kuitumia??
Point!
 
Imefanyaje avatar yangu Roya?hujaipenda nirudishe ya mkia mmh???????
Hahaa...
Infact sipendi mikia....halafu sijui leo umeipeleka wapi ile avatar infanyayo kuingia jf saa 12 asubuhi...kabla ya chochote..:tongue:
 
Kadooogo afu wanakakata nuthu... mweh!!!!:bored:
 
Hahaa...
Infact sipendi mikia....halafu sijui leo umeipeleka wapi ile avatar infanyayo kuingia jf saa 12 asubuhi...kabla ya chochote..:tongue:

Ongea na mimi vizuri nitairudisha Roya twende PM basi.....................
 
Ongea na mimi vizuri nitairudisha Roya twende PM basi.....................

Hii ndo mambo ya kuongolea...achana na ishuz za harafu ya sabuni, who cares?:A S 100:
 
ni kweli vile visabuni vina harufu kali sana na ukisikia mkeo karudi ananukia kile kisabuni lazima pachimbike

kuhusu udogo nadhani wamefanya vile kwa kuwa zile ni sabuni for single use hazitakiwi kuwa kubwa
 
Kaaz kweli kweli.
Najua hii sredi ni kwa wale hawajaoa, lakini ngoja nichangie,

  1. Hiyo sabuni inawekwa kwa kuzingatia kwamba wateja wengi ni wa siku moja, na haitegemewi watu kutumia sabuni iliyoachwa na mwenzio.
  2. Kama mtu unajijali lazima kuna sabuni ambayo huwa unatumia mara zote, Guest hawawezi kujua unatumia sabuni gani!
  3. Mwenye heshima akisafiri hatumii sabuni, taulo wala mafuta ya Guest, unakuwa na vyako (ukitoa vijana na short time)
  4. HOTELI ZINATOFAUTIANA VIWANGO, wewe unalipa elf20 unataka makubwa!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…