Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
Mmmhhhh najua yawezekana ni siku nyingi sijaenda lakini hope kwa wale wa current members wanaweza shauri hili ...kuna visabuni vidogo vidoo hasa lodge za sinza sijui wanabana ama lah
kwa kweli kwa pesa wanayotoa watu si vyema wakawaachia sabuni kubwa ama hataikiwezekana wawanunulie za alovera original...kama kuna mwenye lodge namkaribisha forever member.....
Leo hii nikaona si mbaya kama uko jamvini ama una ndugu ana guest ama lodge mkumbushe aweke sabuni kubwa za kawaida sio wanachukua sabuni wanakata vipande vya rum kumi walahi kama unajipanguse yaani jiiiiiiiipanguse shwa shwa...nafikiri inawezekana wanahisi watu wanaondoka nazo lakini imefika wakati mjue si wote na wengi wanakuja uko kwa sababau ya wizi na si just kustarehe starehe wanazipata kwa wake zao
tunashukuru kama mtajirekebisha kwa hili