Tusabuni ka guest kiwe kikubwa jamani

Mimi nafikiri nisawa tu kuweka vijipande vidogo na kukibailisha kila mgeni akicheck out! Sasa wewe hujawaza hili... wakiweka sabuni kubwa kama Geisha/Lux/detol itakuwa ni gharama kwa matumizi ya mtu mmoja/wawili kwa siku mmoja? na hata kiafya pia haishauriwi kushare sabuni wajameni!!!

Maana wakianza kuweka sabuni kubwa tu basi utakuta baada ya Jewel kucheck out na wewe ukacheck IN utatumia hio hio! ikibakia unafikiri nani atatumia?! vile vijipande ni halali yake maana ukiweka kwenye maji basi unakimaliza mwenyewe uongo?!

Me nashauri ikiwa unataka kujinafasi kuoga huko Lodging basi beba na sabuni yako kubwa maana utaweza kurudi nayo nyumbani na kuendelea nayo kimatumizi zaidi.




 
Kadooogo afu wanakakata nuthu... mweh!!!!:bored:

Mkeshahoi bana:

Nusu ya kale kasabuni haiwezi kushikika kwenye kiganja!

And after all watumiaji wa tule tusabuni huwa wana haraka ya kurudi nyumbani, kwahiyo ndiyo maana SAM anasema waongeze ukubwa!
 
Halafu maana yake nini kasredi haka kukaweka huku kwenye mahusiano??
 
me nadhani hizo sabuni ndogo zimetengenezwa maalum kwa ajili hiyo ziwekwe matotelini na kwenye hizo nyumba za wageni, kwani wanadhingatia afya ya mtumiaji,
1. Unaingia hotelini ama gesti hausi unakuta sabuni imelowa majimaji utaweza kuitumia??
sina shaka na huyu mwenzetu nahisi kazoea sabuni moja kuogea yeye, mkewe, watoto, mkwe, pamoja na wengine wengi, hivi ukiweka GEISHA asubuhi utaibeba kwenda nayo home au utaiacha kisha nani aje kuitumia.
 
Duh...yuko jamaa mmoja ana shughuli maalum na hiyo mbuni....anaipenda kama wife akikukuta dukani unaishika anashikwa na wivu ile mbaya:A S 2152:


haaaahaaaa sema tu ukweliiiii jipanguseeeeeeeeeee rwaaaaaaaa raaaaaaaaaahhh raaaaaaaaaaaahhhh
 
haaaahaaaa sema tu ukweliiiii jipanguseeeeeeeeeee rwaaaaaaaa raaaaaaaaaahhh raaaaaaaaaaaahhhh

Sio utani....hata akiwa baa baada ya kunywa supu ukinawa anakuangalia vibaya ukichelewachelewa tu anakunyang'anya hiyo soap...mawivu kibao kwa soap
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…