Mimi nafikiri nisawa tu kuweka vijipande vidogo na kukibailisha kila mgeni akicheck out! Sasa wewe hujawaza hili... wakiweka sabuni kubwa kama Geisha/Lux/detol itakuwa ni gharama kwa matumizi ya mtu mmoja/wawili kwa siku mmoja? na hata kiafya pia haishauriwi kushare sabuni wajameni!!!
Maana wakianza kuweka sabuni kubwa tu basi utakuta baada ya Jewel kucheck out na wewe ukacheck IN utatumia hio hio! ikibakia unafikiri nani atatumia?! vile vijipande ni halali yake maana ukiweka kwenye maji basi unakimaliza mwenyewe uongo?!
Me nashauri ikiwa unataka kujinafasi kuoga huko Lodging basi beba na sabuni yako kubwa maana utaweza kurudi nayo nyumbani na kuendelea nayo kimatumizi zaidi.

Mmmhhhh najua yawezekana ni siku nyingi sijaenda lakini hope kwa wale wa current members wanaweza shauri hili ...kuna visabuni vidogo vidoo hasa lodge za sinza sijui wanabana ama lah
kwa kweli kwa pesa wanayotoa watu si vyema wakawaachia sabuni kubwa ama hataikiwezekana wawanunulie za alovera original...kama kuna mwenye lodge namkaribisha forever member.....
Leo hii nikaona si mbaya kama uko jamvini ama una ndugu ana guest ama lodge mkumbushe aweke sabuni kubwa za kawaida sio wanachukua sabuni wanakata vipande vya rum kumi walahi kama unajipanguse yaani jiiiiiiiipanguse shwa shwa...nafikiri inawezekana wanahisi watu wanaondoka nazo lakini imefika wakati mjue si wote na wengi wanakuja uko kwa sababau ya wizi na si just kustarehe starehe wanazipata kwa wake zao
tunashukuru kama mtajirekebisha kwa hili