Tusafiri pamoja kwenda Dodoma na usafiri binafsi

elimuplatform

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
1,054
Reaction score
462
Mchana wa leo naelekea Dom na private car je unawaza changia kidogo twende wote, akijitokeza bi mdada itapendeza gari linukie japo si lazima awe wa kike, ni inbox kama upo serious ni saa saba Mchana 21/4/2016
 
gari yako kwanza chafu
 
Hata husemi unaenda Dom kutokea wapi,uko Kasulu nini?
 
Back
Top Bottom