Kwanza toka 2009 ulikuwa wapi? Pili tupe mchakato na uwezekano wa kubadilisha katiba hasa ibara ya 41 (7) na namna ya kupata tume huru ya uchaguzi chini ya Rais JK na spika Andy Chenge na AG Jaji Werema (wakala wa CCM)!
Tusahau ili iweje! Kusahau ndo ugonjwa wa Tanzania na chanzo cha umaskini. Hamna kusahau, ni kulumbana mpaka kieleweke. Una maana tushau walivyoiba. Ujinga huu!