Elections 2010 Tusahau yaliyopita

Elections 2010 Tusahau yaliyopita

Bukyanagandi

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2009
Posts
11,061
Reaction score
16,753
Jamani tuachane na mambo ya kulumbana, cha muhimu hapa ni tume huru na katiba mpya, basi.
 
Ikiwa tu kura zitarudiwa kuhesabiwa na Dr. Slaa kutangazwa mshindi.
 
Jamani tuachane na mambo ya kulumbana, cha muhimu hapa ni tume huru na katiba mpya, basi.

Kwanza toka 2009 ulikuwa wapi? Pili tupe mchakato na uwezekano wa kubadilisha katiba hasa ibara ya 41 (7) na namna ya kupata tume huru ya uchaguzi chini ya Rais JK na spika Andy Chenge na AG Jaji Werema (wakala wa CCM)!
 
Tusahau ili iweje! Kusahau ndo ugonjwa wa Tanzania na chanzo cha umaskini. Hamna kusahau, ni kulumbana mpaka kieleweke. Una maana tushau walivyoiba. Ujinga huu!
 
Back
Top Bottom