Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mlangobwa kuongili naweka wa chuma mkuuKama ni mlango wa kuingia ndani ya nyumba Inategemea na usalama uliojiwekea.
Manake kwenye ofisi nyingi za biashara wanatumia hata milango ya vioo .
Ila ulinzi ni madhubuti
Mlangobwa kuongili naweka wa chuma mkuu
Nilifikira vyumbani niweke aluminium vp hapo???
Ahsante kuna nyumba ambayo bado haijakamilika nilishauliwa niweke aluminiun ndo nasubiri michango ya wakuu hapa!Sawa sawa hongera mkuu
Kwanza Mlango wa Aluminium ni bei nafuu. Frem moja ya Mlango ubao wa Mninga unapigwa hadi laki 3, Mlango wenyewe laki 6 hadi 8. Jumla gharama za Mlango mmoja ni 1 M, lkn aluminium mlango mmoja i Laki 3-6 kutegemea na unene wa kioo na aina ya chuma.Karibuni wakuu.