Tusaidiane hesabu za ujauzito

GAS STATE

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Posts
1,770
Reaction score
954
Wasalaam ndugu

Kichwa chajieleza, napata kigugumizi katika kuhesabu miezi ya ujauzito, je tunahesabu tu miezi mf Oktoba, Novemba na Desemba=3 au tunaanzia siku ile alitarajia hedhi kutoka lakini haikutoka?. mfano mwanamke alimaliza hedhi agosti 5 na alitarajia tena septemba 11 ila haikutokea alipopima kaambiwa ni mjamzito.

Je hadi leo huu ujauzito utakuwa na miezi mingapi?. Nadhani nimeeleweka
tujuzane wakuu, maana mi nilihesabu tu Septemba -Novemba=3 kumbe inawezekana siko sahihi.

Mwenye ufahamu atujuze.
 
Ukihesabu ndio kusema mtoto ataezaliwa atakuwa ni bright?
Cha msingi kwa kuwa mimba ipo nyie wekeni tu maandalizi ya kumpokea mwana mtarajiwa.
 
Ukihesabu ndio kusema mtoto ataezaliwa atakuwa ni bright?
Cha msingi kwa kuwa mimba ipo nyie wekeni tu maandalizi ya kumpokea mwana mtarajiwa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Duh!
 
Ukihesabu ndio kusema mtoto ataezaliwa atakuwa ni bright?
Cha msingi kwa kuwa mimba ipo nyie wekeni tu maandalizi ya kumpokea mwana mtarajiwa.
UTAANDAAJE KAMA HUJUWI LINI ATAKUJA MKUU, LAZIMA ILI USET KIBUBU
 
Haitumiki tarehe aliyomaliza hedhi bali siku aliyoingia hedhi kwa mara ya mwisho. Tuseme ni tarehe 1/8/17 hiyo ndio siku aliyeanza hedhi kwa mara ya mwisho, kwenye siku toa 7 na kwenye mwezi ongeza 9 ndio utapata tarehe ya matarajio ya kujifungua. Hivyo 25/5/18 ndio tunakisia atajifungua plus or minus 2wks.
 
THANKS Ila fafanua zaid eg mara ya mwisho alianza 5/8/2017
 
Simple toa siku saba kwenye siku na ongeza 9 kwenye miezi. Itakuwa 29/5/18 ndio tarehe ya makisio
Ni lazima uzingatie kuwa miezi mengine ina 30 days mengine ni 31 and so forth. Na miezi ni 12 only tu so after inafuata January ndio maana 8+9=17. Kwahiyo 17-12=5 ndio maana itakuwa mwezi wa tano
 
Ni lazima uzingatie kuwa miezi mengine ina 30 days mengine ni 31 and so forth. Na miezi ni 12 only tu so after inafuata January ndio maana 8+9=17. Kwahiyo 17-12=5 ndio maana itakuwa mwezi wa tano
Thanks mtoto mzuri now get u clearly, ubarikiwe allah akupe maarifa zaidi. Sema amin
 
not minus 7 it is plus 7 na hii ni kwa wale wenye cycle ya 28days ambao ni approximately 90% of the population sababu hao wanapata hedhi kwa siku 5-7 so after hizo siku ndo tunategemea ovulation kua imetokea
Pia unaweza kudownload app ya gestation age calculator unapachika tu tarehe zako inakuletea majibu.
 
Nisaidie ushauri, njia ipi nzuri na sahihi kutumia ya uzazi wa mpango? Naomba madhara na faida ya njia pendekezwa.

Asante.!!
Hivi hii hali ya uchumi haitoshi kuwa njia ya uzazi wa mpango mkuu??(joking[emoji38] ). Hakuna njia mbaya, njia inategemea mtu na mtu kwa kuzingatia mambo mengi kama umri, physique yake (yaani kama ni mnene au mwembamba), ushirikiano na mwemza wake kwenye swala hili, mzunguko wake wa hedhi, dedication yake, hali yake kiafya (kama ana shinikizo la damu nk), idadi ya watoto alionao, imani yake, atahitaji mtoto mwengine baada ya muda gani etc. Kwa kuzingatia yote hayo ndio unamsaidia mtu kuchagua njia ambayo itakayo kuwa rafiki kwake.
 
Kwenye dunia ya kileo ya sayansi na technologia mambo ya kuhesabu yalishapitwa na wakati,ingia playstore install hii application!![emoji116]......ni very convenient and reliable!!
 

Attachments

  • IMG_20171110_061334_413.JPG
    8.7 KB · Views: 97
  • IMG_20171110_061304_071.JPG
    59.5 KB · Views: 99
  • IMG_20171110_061246_238.JPG
    63.6 KB · Views: 130
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…