GAS STATE
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 1,770
- 954
Wasalaam ndugu
Kichwa chajieleza, napata kigugumizi katika kuhesabu miezi ya ujauzito, je tunahesabu tu miezi mf Oktoba, Novemba na Desemba=3 au tunaanzia siku ile alitarajia hedhi kutoka lakini haikutoka?. mfano mwanamke alimaliza hedhi agosti 5 na alitarajia tena septemba 11 ila haikutokea alipopima kaambiwa ni mjamzito.
Je hadi leo huu ujauzito utakuwa na miezi mingapi?. Nadhani nimeeleweka
tujuzane wakuu, maana mi nilihesabu tu Septemba -Novemba=3 kumbe inawezekana siko sahihi.
Mwenye ufahamu atujuze.