Tusaidiane hili jambo

Tusaidiane hili jambo

Antennah

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2015
Posts
6,754
Reaction score
8,750
Kwa wale wataalam wa afya mfano wauguzi, madaktari na ma lab technician wanaokutana na mazingira mengi ya kushika damu za wagonjwa.

Ajali kazini hutokea mfano daktari anamfanyia OP mgonjwa ambaye ni HIV positive sasa bahati mbaya drop ya damu ikamrukia ndan ya jicho.

Swali HIV wanaweza penetrate through eyes njia hii ina aailimia ngapi za kumpa maambukizi victim!??

Nawaailisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza kabla ya kufanyiwa operation mgonjwa atakuwa amepimwa, hata iwe emegency kuna vipimo vinatoa majibu ndani ya dakika 15.

Kuhusu damu kurukia jicho la daktari pia si rahisi kwani anakuwa amevaa Protection equipments ikiwemo gaggles
 
Nafaham ndio katika operation wahusika wote kuanzia daktari, scrub nurse mpka assistant Wa surgeon wanavaa protective gears zote.......lakn sio kwa hospital zote......kuna hospitali zenye mazingira magumu ya kazi wanaishia tu kuvaa gown na gloves tu baada ya kunawa..........

Kikubwa tu nahitaji kufaham Risk ya HIV blood drops ikiingia kwenye jicho,,,,is there any possibility ya Maambukizi!!?? Nisaidie kwa hilo mkuu

Back
Top Bottom