Nafaham ndio katika operation wahusika wote kuanzia daktari, scrub nurse mpka assistant Wa surgeon wanavaa protective gears zote.......lakn sio kwa hospital zote......kuna hospitali zenye mazingira magumu ya kazi wanaishia tu kuvaa gown na gloves tu baada ya kunawa..........
Kikubwa tu nahitaji kufaham Risk ya HIV blood drops ikiingia kwenye jicho,,,,is there any possibility ya Maambukizi!!?? Nisaidie kwa hilo mkuu