Tusaidiane katika hili tafadhali wadau

Tusaidiane katika hili tafadhali wadau

EPORA

Member
Joined
Apr 8, 2012
Posts
83
Reaction score
16
Habari zenu wadau,jaman kuna jambo linanipa shida,
nina rafiki yangu kaniomba ushauri kuhusu ualimu,binafsi sijui lolote kuhusu ualimu kwa kuwa nasoma fani tofauti nayo,
Anasema a'level alipata div iii ya point 15,combination ya HKL na ana principle moja nyingine ni subdisiary je?anaweza kukubaliwa kuchukua degree?ila o'level alifaulu vizuri,
Na vyuo anavyoweza kusoma ni vipi?nitashukuru wadau maana rafiki amekata tamaa kwa stress alizonazo.
Nawasilisha.
 
USHAURI WANGU, huyu anatakiwa apitie diploma ya ualimu ambako wanavikubali hizo sifa zake
asiogope kawaida sana hiyo,akiwa diploma asome,afaulu vizuri ili aje atumie equivalent kuomba
chuo kikuu.
 
Back
Top Bottom