Tusaidiane kuitafuta hii dawa

Tusaidiane kuitafuta hii dawa

Kigwema

Member
Joined
Oct 29, 2014
Posts
50
Reaction score
29
Ndugu jamaa zangu,

Kwanza kabisa niseme kwamba mm sio daktar wala si mfanyabiashara wa madawa na sijawahi fanya hivyo wala kufikiri kufanya hivyo.

Lakini nimeamua kuleta hii ishu hapa kwa manufaa ya watu wenye tatizo na uhitaji wa hiki nitacho kieleza, almost FREE!!
Nilivokua chuo kuna room mate wangu mmoja alitoswa na mabinti kama 5 hivi. Mm na wenzangu hatukujua n kw nn jamaa alikua akitoswa na kila binti.

siku moja yule jamaa alinifungukia kwamba anatatizo la UUME WAKE KUWA MDOGO SANA HATA UKISIMAMA na HANA NGUVU ZA KIUME. yaan akianza tu kumchezea binti, akiingiza tu bac anamwaga! Kwakweli nilimuonea huruma na aliponionesha maumbile yake nlishangaa kuona udogo ule.

Ndipo nlikumbuka kuwa kule ziwa nyasa nlikokulia kwa mjomba, nliwahi ckia watu wanasema kuna mzizi mmoja hiv watoto hatutakiwi kula kwan tutakua na uume mkubwa sana. Ilikua n miaka ya nyuma sana enzi hizo nikiwa darasa la pili.

Kutokana na kuona tatizo la huyu jamaa niliwaza kama ile mizizi bado itakuwepo? Na kama ipo nitaendaje nikachimbe?
Mwez wa pili mwaka huu kulitoke a mcba kule nyasa na nlilazimika kwenda kuwakilisha familia kwan n mm tu ndo nlikua cpo shule. Nlivofika kule nlikuta ile mizizi ipo japo kwa uchache sana kwan milima mingi imepukutika. Kwa siri nilichimba na kuweka kwenyebegi kiasi kdogo cha ile mizizi. ckutaka kuonekana maana watu wangenihic vbaya.

Wakati narud nlivofika Njombe nlimpigia jamaa yule ambaye alikua mbeya na tukakutana makambako ambapo nilimpa na kumwelekeza matumizi kuwa atafune kila cku anavolala.

Huwezi amini kilichotokea. Baada ya siku kama 24 hv kupita jamaa alinipigia na kusema ameona maajabu ya ile dawa kwan kle ki shaft kimeongezeka kama inch 2 na nusu hiv, na imejaa na inanguvu.

Nilimkataza kuendelea kutafuna maana hatuna kipimo cha dawa ili isije ikazidi. nilimwambia aache ili ile aliyotafuna iendelee kufanya kazi.

Lakini mpaka juzi nimekutana nae, yaan kanizidi hata mm na anasema yuko fit kabisa na kanipa elf 16 kunishukuru, na vile vimizizi bado amebakinavyo vingine.

Sasa, nimeamua kusaidia watu wenyeshida kama hizo for FREE kwan mizizi tumepewa na Mola bure. Kama unatatizo la nguvu za kiume, uume mdogo na mwembamba au shida nyingine, Just ni PM nitakupa maelekezo. Usihangaike kwa matapeli maana hata yule jamaa alihangaika sana tu na kupoteza hela nyingi bila kufanikiwa.

MIMI SIIUZI HII DAWA. ILA INAPATIKANA MBALI. NI HUKO MANDA ZIWA NYASA. SO, TUTACHANGIANA TU KIASI KIDOGO SANA KWAAJILI YA NAULI ILI NIKIPATA NAFASI NIENDE NIKACHIMBE.

PIA NINA WAZO LA KUIHIFADHI ILE MIMEA KWANI INAPOTEA. IKIWEZEKANA, TUSHIRIKIANE KUIHIFADHI HATA KWA KUIOTESHA HUKO MAPORINI ILI IENDELEE KUWEPO. NITAFURAHI IWAPO MTANIUNGA MKONO!

AHSANTENI
 
Ngoja waje wajuvi humu kama hujakimbizwa na vimizizi vyako.
 
Uko wapi nikufate unipe kipande kilichobaki au jamaa ulimpa vyote?
 
Naona umekalia utajiri.....nenda kachimbe mjini pesa hyo?

Acha hizo wewe kijana kajitoa kusaidia watu huyu usimtie majaribuni.
Pesa nyumba na mali vyote tutaviacha hapa hapa Duniani!
Muache atimize wajibu wake wa kutenda mema.
 
mkuu uko wapi unapatie hivo vimizizi vilivobaki, asante nashukuru
 
MIMI SIIUZI HII DAWA. ILA INAPATIKANA MBALI. NI HUKO MANDA ZIWA NYASA. SO, TUTACHANGIANA TU KIASI KIDOGO SANA KWAAJILI YA NAULI ILI NIKIPATA NAFASI NIENDE NIKACHIMBE.
PIA NINA WAZO LA KUIHIFADHI ILE MIMEA KWANI INAPOTEA. IKIWEZEKANA, TUSHIRIKIANE KUIHIFADHI HATA KWA KUIOTESHA HUKO MAPORINI ILI IENDELEE KUWEPO. NITAFURAHI IWAPO MTANIUNGA MKONO!
AHSANTENI

Umemalizia vizuri dah! Ufafanuzi kwenye RED mkuu!
 
Mkuu unaposema tutachangiana kiasi kidogo hapo jamaa watakuja humu......kwani ata kwa mganga unaambiwa changia kiasi kidogo kama sadaka mimi natibu bure.....kuku,mbuzi,20,000,50,000 nk.Wewe weka wazi ni Tsh ngapi,pia kama kweli unataka kusaidia tujuze humu ndani mmea huo unaitwajwe tunaweza pia kuwaangiza jamaa zetu waliopo huko tukapokelea ubungo,
 
niliwahi kuwa karibu na chinise ughaibuni wanasema wao issue ya nguvu za kiume na size wanamaliza wakiwa watoto
kwani dawa ya mzizi huchangnywa na uji
 
Hongera kwa moyo huo. Mimi nakuchangia hicho kidogo, sasa hujasema kwa njia gani. Uendelee na moyo huo huo. Nipm namna ya mm kukupa kamchango
 
Matapeli huwa wana lugha laini sana kama wanasiasa Nyakati za kampeni, Babu wa Loliondo alisema katika ile Tsh 500 ya kikombe yeye alikuwa anachukua Tsh 100 tu, Mia mbili kanisani na miambili iliyobaki kweny Kituo cha Yatima, Mwisho wa siku hakuna kanisa wala Yatima alifaidika, tuliona Mali zake tu
 
MIMI SIIUZI HII DAWA. ILA INAPATIKANA MBALI. NI HUKO MANDA ZIWA NYASA. SO, TUTACHANGIANA TU KIASI KIDOGO SANA KWAAJILI YA NAULI ILI NIKIPATA NAFASI NIENDE NIKACHIMBE.
PIA NINA WAZO LA KUIHIFADHI ILE MIMEA KWANI INAPOTEA. IKIWEZEKANA, TUSHIRIKIANE KUIHIFADHI HATA KWA KUIOTESHA HUKO MAPORINI ILI IENDELEE KUWEPO. NITAFURAHI IWAPO MTANIUNGA MKONO!
AHSANTENI

Umemalizia vizuri dah! Ufafanuzi kwenye RED mkuu!

Usijali. namaanisha hii dawa ipo mbali toka ninapoishi sasa! Na mm ninafanya kazi huku mjini. Sasa kwenda mpaka kijijini kule ziwa nyasa ni mbali. Hivyo anayehitaji atanichangia tu hela ya nauli ambayo haizidi Elf Ishirini ili nikachimbe huko. Lakini sikulazimishi. Ukipenda kunichangia unaweza fanya hivyo. Ila hela ya dawa ckutozi hata mia!
 
Mkuu unaposema tutachangiana kiasi kidogo hapo jamaa watakuja humu......kwani ata kwa mganga unaambiwa changia kiasi kidogo kama sadaka mimi natibu bure.....kuku,mbuzi,20,000,50,000 nk.Wewe weka wazi ni Tsh ngapi,pia kama kweli unataka kusaidia tujuze humu ndani mmea huo unaitwajwe tunaweza pia kuwaangiza jamaa zetu waliopo huko tukapokelea ubungo,

Jamani,, nauli haizidi elf ishirini. Hata hivyo ni rahisi sana maana kutoka nilipo mpaka nyasa ni kama elf 50 kwenda tu. ni hela yngi lakini tukichangiana tutatoa kidogo kidogo.Lakin kama unauhitaji na moyo wako utakusukuma kunichangia bac utafanya hivyo. kama hujisikii bac usiulazimishe moyo. Ni Pm nitakuelekeza
 
Back
Top Bottom