Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitaacha pombe na kuwaambia nilikuwa nawapima familia yangu kama wanauvumilivu, nitawaambia sasa nimeacha pombe tuishi kwa kuheshimiana[/QUOTE Ezan hiyo imetulia.
inawezekana sana,..kwasababu inawavunjia watu wengi sana heshima..bora heshima ishuke kwa majirani kuliko kushuka kwa watoto uliowazaa...kwetu sisi, mzazi hata anapoenda chooni, anajificha watoto wasijue...na mtoto ukiona kwa mbali mama au baba anaenda uwani, unatoka nduki unaenda kujificha mbali....wengine hadi wanafika miaka kama mitano, wanaamini baba na mama hawaendagi chooni...hahahah..sasa kuona laivu baba kajichafulia,...hapo heshima inashuka kwakweli.Kuishi bila pombe inawezekana...