robinson crusoe
JF-Expert Member
- Oct 22, 2020
- 762
- 1,236
Ni watu muhimu kwa siasa za sasa?Mzee Ruksa na Warioba mbona huwataji
Ni hazina kwa ushauri na siyo kwa siasa zakukimbizana kama fisiNi watu muhimu kwa siasa za sasa?
Kwa mbaali, naona unataka Chanjo isaidie kusafisha wanasiasa waliojidai kuwahi siti, eti?Niliona kundi kubwa la wansiasa waliowahi chanjo lakini nasikitika kwamba watu wawili ktk siasa za sasa hawakuonekana; Spika wa bunge letu, mzee wa presentation na mstaafu Kikwete, mzee wa bandari. Walikuwa wapi watu hawa wakati wenzao wanawahi viti?
Kama chanjo itafanya tunachotaka ikifanye kwa wanasiasa, ni muhimu wakachanjwa maana matumaini yangu ktk chanjo hii ni makubwa na huenda ikatusaidia kuondoa mambo muhimu ya kisiasa miezi ijayo.
Walishapata ile aina ya moderna mapema sanaKwa mbaali, naona unataka Chanjo isaidie kusafisha wanasiasa waliojidai kuwahi siti, eti?
Lowassa na Sumaye Msuya na Malecela Hawa VipiMzee Ruksa na Warioba mbona huwataji
Acha ujinga ww, chanjo ni hiari! Kama vipi nenda kachanje mwenyewe ili uisikilizie mwenyewe live vile itakavyokuwa inakufanya! Hii itakusaidia badala ya kusikia ya kuambiwa ama kuwatazama wengine!Niliona kundi kubwa la wansiasa waliowahi chanjo lakini nasikitika kwamba watu wawili ktk siasa za sasa hawakuonekana; Spika wa bunge letu, mzee wa presentation na mstaafu Kikwete, mzee wa bandari. Walikuwa wapi watu hawa wakati wenzao wanawahi viti?
Kama chanjo itafanya tunachotaka ikifanye kwa wanasiasa, ni muhimu wakachanjwa maana matumaini yangu ktk chanjo hii ni makubwa na huenda ikatusaidia kuondoa mambo muhimu ya kisiasa miezi ijayo.
Unadhani JK hajachanja mpaka leo?
Kikwete alichanja labia meko hajafa .Niliona kundi kubwa la wansiasa waliowahi chanjo lakini nasikitika kwamba watu wawili ktk siasa za sasa hawakuonekana; Spika wa bunge letu, mzee wa presentation na mstaafu Kikwete, mzee wa bandari. Walikuwa wapi watu hawa wakati wenzao wanawahi viti?
Kama chanjo itafanya tunachotaka ikifanye kwa wanasiasa, ni muhimu wakachanjwa maana matumaini yangu ktk chanjo hii ni makubwa na huenda ikatusaidia kuondoa mambo muhimu ya kisiasa miezi ijayo.
Labda Ndugai ndio bado...Jakaya Mtoto wa mjini anajua dunia inavyoenda. Mwendazake hakuamini na akaenda na Sasa Rashid Kibwetere na wafuasi wake wasioamini ukuu na uwezo wa Mungu wapo wanamtukuza Mzungu na shetani kuwa wanataka kubadili maumbile ya binadamu kwa chanjo za covid-19.JK mjanja yule mzee hawezi kukaa kiboya awe hajachanja mpaka leo... Anakwambia akili ya kuambiwa changanya na yako!
Unajuaje Kikwete hajachanjwa?Niliona kundi kubwa la wansiasa waliowahi chanjo lakini nasikitika kwamba watu wawili ktk siasa za sasa hawakuonekana; Spika wa bunge letu, mzee wa presentation na mstaafu Kikwete, mzee wa bandari. Walikuwa wapi watu hawa wakati wenzao wanawahi viti?
Kama chanjo itafanya tunachotaka ikifanye kwa wanasiasa, ni muhimu wakachanjwa maana matumaini yangu ktk chanjo hii ni makubwa na huenda ikatusaidia kuondoa mambo muhimu ya kisiasa miezi ijayo.