Tusaidiane kutafakari kauli za mama Diamond

Tusaidiane kutafakari kauli za mama Diamond

Baba Diamond atunge kitabu cha Maisha yake.
 
Huyo mama katembeza mbunye hapo kariako hadi hajielewi watoto aliopata baba zao

Hao kina ESMA dangote ,Queen darlin ,Ricardo mom ,diamond

Ukifuatilia baba zao ni kizungu mkuti ,hawajulikan wametokea wapi

Wote hao ni wanaharamu tu
Yani wewe ndio bure kabisa kumbe huna hata hujualo. Queen darlin ni mtoto wa mama dangote tangu lini
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mm kwngu kila kitu dili tu [emoji41][emoji41][emoji41]
Lkn hyo baba anyamaze tu anawapa watu wa media faida tu wao wanapiga hela wakati yeye
Anaishi kwa tabu

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
maustaadh mtusaidie kutanzua kadhia hii kwa minaajili ni jinsi gani kitaaabu kitukufu kinatufunza juu ya kadhia za kinamna hii zaa kidunia endapo zinamkabili kijana wa kiislamu Asalaam aleykum Asalamu aleykum🥶🥶🥶🥶🥶🥶🥶🥶🥶🥶🥶🥶
 
Ningelikuwa mimi ndiye daimondi hakika picha hii ingekuwa inani HUKUMU moja kwa moja walah nisingelipepesa macho kumsaidia mzee huyu
 
Aliambiwa mzee Abdul Jana akapime DNA akajibu hawezi kwenda huko sababu mtoto hagombaniwi
Umemuelewa hapo?
Mambo ya aibu hayo wanayo yaweka public. Na mbaya zaidi mzee wa watu kwakua pangu pakavu wameamua kunfedhesha halikuwa na haja ya kuliweka public.. jinga kabisa
 
Mimi ningekuwa baba nisingeongea na media bila mpunga huyu mzee naye hajuwi thamani yke

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Mzee kaongea kwasababu ya unyonge, hata kidogo ku release maumivu.. Mzee dingi angekuwa na hela anaonekana mtu poa sana.. ukiachana na udhaifu wake mwingine wa kibinadamu
 
Mambo ya aibu hayo wanayo yaweka public. Na mbaya zaidi mzee wa watu kwakua pangu pakavu wameamua kunfedhesha halikuwa na haja ya kuliweka public.. jinga kabisa

Wote wamezingua ila huyu mzee nae alizidi....

Yaani kila siku kwenye media kumsema mtoto anayejua sio wake na wala hakumlea! Jina jina tuu, kwani kuna Abdul wangapi buana

Mtoto kutumia jina lake ikageuka fimbo ya kumchapa mama Diamond kila kuchwao! Angekuaga na upendo na nasib yote haya yasingetokea.... Sasa mwenzie nae kachoka kamwaga mboga

Mfanyie ubaya mtu mzima lakini sio mtoto sababu atakua naikumbuka maumivu uliyompa na hujui atakua nani.
 
Back
Top Bottom