Nyakitagara
Member
- Feb 7, 2019
- 57
- 90
Nimeweka grill.wamepita kwenye sehemu ya grill niliweka kama emergency door kama kuna dharura ya moto.Weka mtu aishi hapo,Ipo siku watan'goa mpaka madirisha na milango
Ndio tafuta mtu aishi hapo kwa muda,hizo kesi mbona zipo sana huku kwetu Chanika,kila siku watu wanalia mm mwenyewe juzi sijarudi nyumbani jamaa wameingia wamevunja mabanda yangu ya sungura sijakuta hata mmoja,hapa nataka niwasiline na babu nimtoe mtu mgoroNimeweka grill.wamepita kwenye sehemu ya grill niliweka kama emergency door kama kuna dharura ya moto.
Nakuelewa mkuu. Wizi mbaya Sana,Ndio tafuta mtu aishi hapo kwa muda,hizo kesi mbona zipo sana huku kwetu Chanika,kila siku watu wanalia ,mm mwenyewe juzi sijarudi nyumbani jamaa wameingia wamevunja mabanda yangu ya sungura sijakuta hata mmoja,hapa nataka niwasiline na babu nimtoe mtu mgoro
Kumbe jibu unalo. Hakikisha nyumba iko full secured ndio utandaze nyaya. Kama nyumba imejitenga sana weka mlinzi.Nimeweka grill.wamepita kwenye sehemu ya grill niliweka kama emergency door kama kuna dharura ya moto.
Me walikata grill yangu ya mlango nyumba ilikuwa haijaisha, wakaiba makorokoro kibao mwaka wa juziNimeweka grill.wamepita kwenye sehemu ya grill niliweka kama emergency door kama kuna dharura ya moto.