Da Vinci XV
JF-Expert Member
- Dec 7, 2019
- 3,862
- 6,438
Wasaalam,
TITO 2:11-13
Maana neema ya Mungu iwaokoayo wanaadamu wote imefunuliwa, nayo yatufundisha kukataa ubaya na tamaa za kidunia, Tupate kuishi kwa kiasi na haki, na utauwa, katika ulimwengu huu wa sasa, Tukilitazamia tumaini lenye Baraka na mafunuo ya Utukufu wa Kristo Yesu, MUNGU mkuu na Mwokozi wetu.
Binafsi ni msomaji mzuri wa vitabu vya karibu dini zote kuu, lakini nikiri wazi ,sijamaliza kusoma vyote wakati naliendea andiko hili ambalo linapatikana katika Kitabu cha Tito, Kutoka kwa Sauli nikatamani ufafanuzi zaidi nikazama Machimbo mbalimbali kupitia nami nikapata kuandika kwa kadri ., nlivyoelewa juu ya Uchambuzi wa Viongozi wa dini na waumin mbalimbali ambao una Ukinzani ndani yake.
Kabla sjaandika nilichonacho wadhani ningependa kushiriki pamoja juu ya Ufafanuzi wa Andiko hilo haswa haswa mstari wa 13, kwa kadri ulivyosoma au kuelewa.
Shukrani
NB: Haipo kwa ajili ya Kuleta mkwaruzano au mgogoro baina ya wachangiaji na waumini Hivyo ningependa ufafanuzi polite kwa ajili ya kutoana sintofahamu juu ya maandiko haya matukufu.