Tusaidiane ufafanuzi wa andiko hili...

Tusaidiane ufafanuzi wa andiko hili...

“Looking for that blessed hope, and the glorious appearing of the great God and our Saviour Jesus Christ;”
— Titus 2:13 (KJV)

Nafikiria shida inaweza kuwa translation kutoka kingereza kuja kwenye kiswahili.
Naona kama "the same verse in English doesn't compromise with the one in kiswahili. "
Oooho the great god??
 
Tukilitazamia tumaini lenye Baraka na mafunuo ya Utukufu wa Kristo Yesu, MUNGU mkuu na Mwokozi wetu.

......Ni kama iko wazi tu.

Naona pengine unawaza hapo mwishoni Utukufu wa Kristo Yesu, MUNGU mkuu na Mwokozi wetu.

Amini tu hivyo,
 
Sawa sawa mkuu
 
Binafdi sijaona changamoto yoyote kwenye hizi verse,Pengine the fact kwamba Paulo anatamka wazi wazi kuwa Yesu ni Mungu mkuu ndo imekuchanganya lakini haikupasa kukuchanganya hata kidogo.

According to Christian theology Jesus is God. Na mkristu yeyote ambaye atashindwa kutambua hili asijihesabie kuwa ni mkristu,mfuasi yetote wa kristu anatambua kuwa Yesu Kristu ni Mungu nahilo limejidhirisha over and over kwenye Scripture.

So unless you have another observation i'll be glad to hear it otherwise you don't need to be confused. JESUS CHRIST IS GOD,thats what Paul says and thats what the Bible says.
 
“Looking for that blessed hope, and the glorious appearing of the great God and our Saviour Jesus Christ;”
— Titus 2:13 (KJV)

Nafikiria shida inaweza kuwa translation kutoka kingereza kuja kwenye kiswahili.
Naona kama "the same verse in English doesn't compromise with the one in kiswahili. "
Hakuna tofauti ya maana katika hiyo verse regaldless ya lugha both verse zinamtaja Yesu Kristu pekee kama Mkombozi na Mungu mkuu.

Sijui why it is so hard for people to take it as the bible says and trying to twist in such a way to fit their naratives. Bible says Jesus is GOD in more than hundred occasions.
 
Back
Top Bottom