Da Vinci XV
JF-Expert Member
- Dec 7, 2019
- 3,862
- 6,438
- Thread starter
-
- #21
Oooho the great god??“Looking for that blessed hope, and the glorious appearing of the great God and our Saviour Jesus Christ;”
— Titus 2:13 (KJV)
Nafikiria shida inaweza kuwa translation kutoka kingereza kuja kwenye kiswahili.
Naona kama "the same verse in English doesn't compromise with the one in kiswahili. "
Kwani Nini kinachanganya au haujui Christian theology yesu Ni Mungu?Oooho the great god??
Sawa sawa mkuuTukilitazamia tumaini lenye Baraka na mafunuo ya Utukufu wa Kristo Yesu, MUNGU mkuu na Mwokozi wetu.
......Ni kama iko wazi tu.
Naona pengine unawaza hapo mwishoni Utukufu wa Kristo Yesu, MUNGU mkuu na Mwokozi wetu.
Amini tu hivyo,
Mungu mkuu???Kwani Nini kinachanganya au haujui Christian theology yesu Ni Mungu?
Hakuna tofauti ya maana katika hiyo verse regaldless ya lugha both verse zinamtaja Yesu Kristu pekee kama Mkombozi na Mungu mkuu.“Looking for that blessed hope, and the glorious appearing of the great God and our Saviour Jesus Christ;”
— Titus 2:13 (KJV)
Nafikiria shida inaweza kuwa translation kutoka kingereza kuja kwenye kiswahili.
Naona kama "the same verse in English doesn't compromise with the one in kiswahili. "
NDIO[emoji123][emoji106]Mungu mkuu???