Tusaidiane VPN ya Halotel wakuu

Mbona unaonekana ni mbobezi Mkuu au unatuchora? Mtu wa tech haujui kuhusu hii kitu kweli??
Nilichokua najua ni kwamba hawa watu wanaofanya kwenye haya makampuni yanayouza internet wanaweza kufanyia bypassing kwenye data charges lakini hii ya free internet via VPN nilikuwa sijui(uongo mbaya)

Kwenye tech.mambo yanabadilika kila sekunde ukilala unakuta mambo mapya ndio maana inabidi usiwe mwepesi wa kutoa hitimisho(inabidi kujifunza kila wakati)
 
Naona upo mbali sana na ulimwengu wa tech. Hii kitu inawezekana hata mm mwanzoni nilikuwa na fikiri kama wewe. Walee wazee wa UDP tigo kina Droid VPN na Stark VPN, Ha tunnel n.k Airtel. Nimetumia sana na kuna ile ya voda. Mzee ni mserereko tu kama una bando. Unawezesha kwenye simu, una change proxy kwenye PC ni mserereko kama una bando.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…