T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 12,674
- 29,643
Ja Bariadi-Simiyu Aha Nkoi....ja hale ngw'anone..
😂😂😂😂my ribsAsarama areku
Manengelo:hilo ua eb nipatie mimi mama utakua haujapoteza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]my ribs
chukua tu mkuu ..mie mpenzi wa maua sana sana ..pink hibiscusManengelo:hilo ua eb nipatie mimi mama utakua haujapoteza
Manengelo:mimi cna Elimu kivile usiwe unaniandikia kiingereza iyo pink hibiscus njoo uiweke sebuleni kwangu mama Ruksachukua tu mkuu ..mie mpenzi wa maua sana sana ..pink hibiscus
Manengelo:mimi cna Elimu kivile usiwe unaniandikia kiingereza iyo pink hibiscus njoo uiweke sebuleni kwangu mama Ruksachukua tu mkuu ..mie mpenzi wa maua sana sana ..pink hibiscus
Masiboota!Tasiboota!
😂😂😂 hili ua jina lake ni hibiscus..sasa hii ni hibiscus ya pink... haya nakuja kuliwekaManengelo:mimi cna Elimu kivile usiwe unaniandikia kiingereza iyo pink hibiscus njoo uiweke sebuleni kwangu mama Ruksa
Waguma!Masiboota!
Manengelo:mimi ni GUMBARU graduate mpka hpo umeshanipoteza, Njoo2 mama uliweke mnyankole kaenda mbarara kula sikukuu hayupo uwanja ni wako mama[emoji23][emoji23][emoji23] hili ua jina lake ni hibiscus..sasa hii ni hibiscus ya pink... haya nakuja kuliweka
Manengelo:mimi ni GUMBARU graduate mpka hpo umeshanipoteza, Njoo2 mama uliweke mnyankole kaenda mbarara kula sikukuu hayupo uwanja ni wako mama
Hpa mama nimejilaza namckiliza Charlie pride, AMAZING LOVE, ukileta na hilo ua itakua usingizi mwanana na marashi kede kede joka kutoka kunako pangohahahaha unadhan namuogopa mnyankole[emoji16][emoji16]sumhofii wala atanikuta nimejaa teleee..[emoji16][emoji16]nadamshi tu na dera langu...[emoji16]
😂😂😂😂... mm hapa nasikiza taarabu moja akiwa kwako ni wako😊😊..mm manyimbo ya kiinglish yamenipitaga kushoto😊 tukiungana ni maisha muruwaaaa..mradi uwe na sabofa tu mkuu melodies za taarabu ukiziweka kwa sabufa ahhh maisha umeyapatia😊Hpa mama nimejilaza namckiliza Charlie pride, AMAZING LOVE, ukileta na hilo ua itakua usingizi mwanana na marashi kede kede joka kutoka kunako pango
Eb msikilize Emmylou Harris Wildwood Flower alaf unipe mrejesho mkuu manengelo, mimi mpenzi sana wa County music[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]... mm hapa nasikiza taarabu moja akiwa kwako ni wako[emoji4][emoji4]..mm manyimbo ya kiinglish yamenipitaga kushoto[emoji4] tukiungana ni maisha muruwaaaa..mradi uwe na sabofa tu mkuu melodies za taarabu ukiziweka kwa sabufa ahhh maisha umeyapatia[emoji4]
HahahaWatombwaga..(unajibu pia watombwaga )
Kichina nn?[emoji4]Chei chei
MasibhotaTasiboota!