Tusalimiane kikwetu..

Tusalimiane kikwetu..

Hahaha mkuu hivi hyo ina maana gani?
Aisee mzee umemwambia "unataka umle",hapo kwenye "umle" weka lile neno gumu lisilioandikika kirahisi.

Ukiwa Tanga ukatamka kauli hiyo wazee wakakusikia kama mtoto mdogo basi adhabu yako haitaelezeka.
 
Back
Top Bottom