Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kimanda... wenyeji wanatokea mwambao wa ziwa nyasa hasa Lituhi... Ngelenge, Luilo, Manda, etcHiki mbona kama kiingereza jamani, lugha gani hii?
kimandaHiki mbona kama kiingereza jamani, lugha gani hii?
Kimanda... wenyeji wanatokea mwambao wa ziwa nyasa hasa Lituhi... Ngelenge, Luilo, Manda, etc
Oooh okey.kimanda
ur welcm!! Habar ya hasubui Mkuu?Oooh okey.
Salama kabisa, thanks.ur welcm!! Habar ya hasubui Mkuu?
Daaah!! Luilo kijij changu nimekmicKimanda... wenyeji wanatokea mwambao wa ziwa nyasa hasa Lituhi... Ngelenge, Luilo, Manda, etc
Mkuu #atoto# kama Makabila wangekuwa wanabadili kama Dini ningekushaur ubadili uwe MmandaSalama kabisa, thanks.
Kwasababu gani?Mkuu #atoto# kama Makabila wangekuwa wanabadili kama Dini ningekushaur ubadili uwe Mmanda
tumestaraabika sana na wasafi mno na kwa utafti wangu wamanda na wanyasa ndo tunaongoza kwa kuchomekea na kuchana nywele Afrika, tunastaili yetu inaitwa 'way.,' hi style unachana nywele then unatengeneza road kutoka mwanzo wa nywele uson mpaka ktk ya kichwa aisee inapendeza sanaKwasababu gani?