balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
Habari yako kutoka level ya pili nimeegemea bomba la ngaziMwana Jf aliyepo kwenye MV Magogoni tusalimiane mda huu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Habari yako kutoka level ya pili nimeegemea bomba la ngazi
Kwa hiyo pande hizi hakuna mwana JF.Hii mbaya Sana.Mwana JF aliyeko Mkamba Kilombero tusalimiane Niko hpa Village Villa.
Hi.. Nakusalimia kutoka Bunju BMwanaJF aliepo Bunju A.
Nakupa Hi❗ kutoka kipande hiki
Zimefika jiraniHi.. Nakusalimia kutoka Bunju B