Tusanue apps zipi unatumia zinakurahishia kwenye nyanja tofauti

Swahili AI

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2016
Posts
10,174
Reaction score
89,364
Tusanue apps zipi unatumia kwenye simu, Android OS au iOS Ambazo zinakurahishia kwenye nyanja tofauti.
Tuambie na namna ya kuzipata.

Mfano:

Hii unaweza kuipata kwa kuidownload kutumia browser yako maana haipo playstore wala appstore.

Inarahisisha kwenye ku-copy captions na comment kwenye post yoyote.
Pia unaweza ku-download picha au video yoyote kutoka insta ata kama ni ads.



App nyingine ambayo naikibali sana ni OnStream, hii naweza kutizama movies au series na kuzidownload pia kutumi SPlayer. Yani hamna tozo ni bando lako tu.

Hii app ni kwa watumiaji wa os ya Android tu kwa sasa. Unaweza kuinstall kwenye tv au kifaa chochote chenye os ya Android


TUSANUE APP YOYOTE INAYOKUWEZESHA KU-PUSH MIPANGO.

KARIBUNI WATAALAMU.
 

Hii ni App kwa wanawake hata mwanaume unaweza kua nayo kwa ajili ya mke wako
Inajihusisha na kutrack period kwa wale wenzangu na mimi ambao hatuwezi kushika tarehe za kupokea mshahara

Mkiipakua mtaona inaonyesha vitu vingi kama
-Track period
- Track pregnancy
-Try to conceive
-Body temperature
- Danger and Safe days
-Hormonal changes
Huhitaji kua na wasiwasi kua mshahara wako utatoka saa ngapi, hii app itakupigia kengere na wewe utadraw pesa ATM
 
Kwangu ni hii ViMusic ni app ya kustream music, inatumia YouTube music Library ila yenyewe ni free haina kucreate account na nyimbo zoote unazo stream ukiwa na bando hadi wimbo ukaisha ukimaliza kuustream unabakia offline milele labda wewe uufute.

Ina allow ku create Playlist zako offline, kwa sisi wa bando la mawazo inakuwezesha kupata nyimbo kwa High quality ambazo unaweza sikiliza hata ukiwa huna bando baada ya kuwa uliplay ukaisha

Changamoto yake ni kwamba huwezi sikiliza online na bando lako bila VPN mpaka upate VPN ikupe yenye server za ulaya, kwangu Nchi zinazofanya vizuri ni UK na France, VPN ninayotumia mara nyingi ni HA tunnel.

Hii app haiko play store.

 
wewe dada unapenda sana mambo ya vizazi,nakuona sana kwenye mada za kutusuana vizazi napata mashaka na kizazi chako...🤣
 
Asante sana
 
Hiyo app ya onstream imeniondoa kwenye utumwa wa speed ndogo za Telegram na Upuuzi wa matorrent.
Kongole kwako mkuu.
 
Mweeeee jobhaa jobhaaa
 
Mkuu ndio hii manake nimepakua inapiga bila vpn na je zinajisave wapi song
 

Attachments

  • Screenshot_2024-06-05-12-54-18-25_6f55a3c4de83481ebdee1685416eed82.jpg
    490.3 KB · Views: 11
ni app ya meseji hiyo kuna setup ukifanya hata simu umuachie mkeo au mshangazi wako mwaka utatumiwa meseji za mademu hazioni ata itumwe muda huu na simu anayo kaishika kwenye meseji ngoma haitokei kwenye chatbackground ila ukiishika mwenyewe chap unasoma akija gafla unagusa fingerprint zinayayuka au unapiga home botton ukiingia tena huzikuti

mwisho ukiset no screenshot hakuna raia atascreenshot au kucheza na recent
 
Asante kwa app ya onstream iko poa sana,nimeipenda user interface yake.
Kuna nyingine inaitwa Moviebox ni nzuri sana ingawa inahitaji kulipia.
Moviebox unalipia ww mwnyw mkuu, sisi wengine hatulipii

Zinaa gharama sana 😂
 
Mkuu asante kwa madini changamoto nayokutana nayo ni namna ya kuipata hii Onstream. Kule playsore nikisearch inakuja Onstream ya kifaransa. Tafadhali naomba hata icon nione ilivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…