Tusanue apps zipi unatumia zinakurahishia kwenye nyanja tofauti

Wazee wa kuedit videos na picha za biashara hapo ndo penyewe
 

Attachments

  • IMG_1518.png
    4.1 MB · Views: 12
wewe dada unapenda sana mambo ya vizazi,nakuona sana kwenye mada za kutusuana vizazi napata mashaka na kizazi chako...[emoji1787]
Dah eti kutusuana vizazi [emoji3]
 
Mood Messenger hiyo, niliamuaga kulipia premium kabisa toka 2018.... Hiyo feature ya kuficha SMS chap kama ukifumwa inaitwa "Panic Button" yaani ukii activate alafu ukafumwa unasoma meseji mbovu unaclick tu fingerprint kila kitu kinayeyuka 😂 hatojua kabisa zimepotea poteaje atahisi labda ulikua unasoma memes za mtandaoni tu..
 
Tiktokio
Kwa ajili ya kudownload tiktok videos bila watermark au tiktok logo
 
Waafrika bana, yaani nasoma comment nikitafuta anayesanua kuhusu app ya kuongeza ufanisi kwenye jitihada za kimaisha, nyingi ni mambo ya streaming na sijui kuficha sms za kufumaniana, tunakwama wapi.
 
😂😂
 
Waafrika bana, yaani nasoma comment nikitafuta anayesanua kuhusu app ya kuongeza ufanisi kwenye jitihada za kimaisha, nyingi ni mambo ya streaming na sijui kuficha sms za kufumaniana, tunakwama wapi.
Wenzako wametaja zinazowakwamua kwenye streaming na sms kuficha, wewe hiyo inayorahisisha maisha itoe wewe.
 
Hio instaGold Icon yake ipoje maana zipo nyingi.
 
Mkuu nimeipata lakini kila nikifungua nyimbo hailii inaandika hivo , nakosea wapi
 

Attachments

  • Screenshot_20241202-120903.png
    347.7 KB · Views: 6
  • Screenshot_20241202-120914.png
    121.2 KB · Views: 2
  • Screenshot_20241202-121121.png
    56.9 KB · Views: 3
SmartBusiness app
-----
SmartBusiness ni program ya usimamizi wa biashara ambayo itakuwezesha kusimamia taarifa za mauzo, matumizi, manunuzi ya stock, kufahamu bidhaa zilizobaki kwenye stock, madeni ya wateja na yale unayodaiwa na suppliers, kusimamia malipo ya wateja wanaolipa kidogo kidogo n.k pamoja na kupata ripoti ya mwenendo wa biashara yako.

Kwa nini Unahitaji SmartBusiness hivi sasa kwenye biashara yako?

Urahisi wa Kutunza Kumbukumbu - Inarahisisha ufuatiliaji wa mauzo, manunuzi, na gharama za biashara kwa urahisi.

Usimamizi wa Fedha - Hutoa ripoti za kifedha kwa muda mfupi na inasaidia kupanga bajeti na kutathmini faida na hasara.

Ufuatiliaji wa Malipo - Inawezesha kufuatilia malipo ya wateja na mikopo wanayodaiwa.

Usimamizi wa Wateja na Wauzaji - Inasaidia kutunza taarifa za wateja na wauzaji kwa urahisi

Usimamizi wa Stoo/bidhaa - Inafuatilia bidhaa zilizo stoo na inakupa taarifa za bidhaa zilizokwisha au karibu kumalizika

Rahisi Kutumia - Ni rahisi na rafiki kwa mtumiaji, haihitaji hata D moja ili kuweza kuitumia

Inarahisisha usimamizi wa usambazaji wa bidhaa kwa wateja (Delivery)

Inakuwezesha kurekodi taarifa za wateja wanaolipa kidogo kidogo

Android: SmartBusiness -Bookkeeping App - Apps on Google Play

iPhone: https://apps.apple.com/app/smartbusiness-bookkeeping-app/id6504250445
 
App nzuri ngoja niipakue
Ukilipia premium vitabu vyako vinakua synchronized to google drive, unaweza kusikiliza audio book while screen iko off, untweka audio speed unayotaka na future nyengine kibao, nakushauri lopia premium uta enjoy.halafu na high quality audio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…