snipa
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 4,437
- 2,043
Wadau ni muda umepita sasa Bila kugusia sarafu bandia, lakini ni wakati sasa wa kuangalia kuhusu hizi sarafu bandia na wengi mnaoelewa muwaepushe watanzania na ponzi scheme.
Jambo kubwa naweza sema hapa ni usalama wa pesa zetu kwasabu coin zipo nyingi baadhi ni stable na baadhi ni unstable, sasa swali ni je serikali imejipanga vipi kulinda sarafu ambazo ni stable na je ziko audited ili kuepusha inflation.
Kuna baadhi ya kampuni zinanunua mafuta na bidhaa nyingine kwa usdt lakini usdt iko backed na us dollar, na tunaelewa US wanaweza kuprint dollar, na eamekubali kuback usdt kwasabu wanaweza kutrace je vipi kama USDT 1 ikiwa sawa na tsh 0.000 afu US wanacontrol every cryptocurrency .
Lastly
Tuangalie Sana crypto hata kama ni big farm shit it's risky lakini tunahitaji safe crypto control ili tuepuke mazigizaga.