Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah....hahahaha. Hii mada umeielewa vizuri sanaNikisikia au kuona Nigeria, kuna picha ya wanawake wa nigeria inanijia kabisa, ni wanawake fulani, kwanza ni weusi, wengi ni wafupi. Isitoshe ni wale wanawake wa haleluya sana. Jua limewakomaza. picha hiyo hiyo ndiyo inanijia kwa wanawake wa kenya. Kwa tanzania naiona picha ya mwanamke fulani, siyo wa umri ulioenda, ila ni mwanamke aliyezaa tayari, sema hajakongoloka sana, tuseme amezaa watoto wawili, akafunga uzazi.
Na akipita sehemu, anaita.
Akivaa siketi fupi ana mapaja fulani ya kibarmaid hivi, na michirizi kwa mbali.
Sasa watu km nyie ndo huwa nyuchi zinawapelekesha balaa....ila nyuma ya keyboard mbwembwe kibao. Haya tiririka 'she' gani umeielewa incase.......!
unamfanyia mbwembwe eeee? mpaka unakamuaaaaa!!!!!???Nina mbwembwe hata nyuma yako achalia mbali nyuma ya keyboard. Nikiwa nyuma yako pia lazima niwe na mbwembwe.
Namfanyia mbwembwe hadi aanze kuwaza mawazo yenye mantiki.unamfanyia mbwembwe eeee? mpaka unakamuaaaaa!!!!!???
kamulia mbwembwe hapo nyuma ili awe na adabuNamfanyia mbwembwe hadi aanze kuwaza mawazo yenye mantiki.
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] Kumbe kichwa chako kimeishi kukumbuka asili yako kutoka kwa mama yako. Huwezi kuzaliwa guest house ukawa na akili, utaishia kuwaza wanawake na kila unachoona ukione kwenye taswira ya mwanamke.And you are absolutely correct son of a bitch!
Duuuu....sikujua hilo. So ile ni nchi ya kiume!