Tuseme sasa wawekezaji basi tujikite na kukuza wawekezaji wa ndani

Pascal Ndege

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2012
Posts
2,977
Reaction score
1,897
Hii siasa ya kuleta wawekezaji naona imekuwa mwiba kwa nchi hii mikataba mingi ni ya hovyo kabisa.
Kuna wawekezaji Tanzania wazalendo wamewekeza pesa nyingi kuliko wageni kwanini tusijikite kukuza wawekezaji wa ndani ya nchi.

Tatizo siyo uzoefu wapewe wafanye makosa ndio wajifunze. Sidhani Azania Anashindwa kuendesha bandari
 
Hapa kikwazo ni ccm,bila kuwato kwa nguvu za umma nikazibure,wao wanaamini katika kuuza nchi. Hakuna nchi meendelea kwa kunufaisha watu wengine na kuacha kunufaisha rai wake zaidi ya ccm.
 
Hii siasa ya kuleta wawekezaji naona imekuwa mwiba kwa nchi hii mikataba mingi ni ya hovyo kabisa.
Kuna wawekezaji Tanzania wazalendo wamewekeza pesa nyingi kuliko wageni kwanini tusijikite kukuza wawekezaji wa ndani ya nchi.

Tatizo siyo uzoefu wapewe wafanye makosa ndio wajifunze. Sidhani Azania Anashindwa kuendesha bandari
Hii ndio italeta mpasuko na mgawanyiko mkubwa sana mkuu.
Ebu angalia muwekezaji wa ndani anavyowa treat na kuwalipa wafanyakazi local.
Baada ya hapo tazama muwekezaji wa nje anavyowa treat na kuwalipa wafanyakazi local.
Binafsi naona bado Tanzania inahitaji wawekezaji wa nje ili tujifunze na tupate teknolojia mpya. Shida inakuja kwenye mikataba ambayo inaonekana kumnufaisha zaidi muwekezaji kuliko nchi, nikimaanisha "mikataba mibovu".
 
Nilijua utapinga kwasabu wewe ni mchumia tumbo fc, hapa jf tunatakiwa kuwajua members Wachumia matumbo fc ili tuwapuuze
 
Hii siasa ya kuleta wawekezaji naona imekuwa mwiba kwa nchi hii mikataba mingi ni ya hovyo kabisa.
Kuna wawekezaji Tanzania wazalendo wamewekeza pesa nyingi kuliko wageni kwanini tusijikite kukuza wawekezaji wa ndani ya nchi.

Tatizo siyo uzoefu wapewe wafanye makosa ndio wajifunze. Sidhani Azania Anashindwa kuendesha bandari
Bila kuondoa ccm madarakani kwa nguvu ya umma tunapoteza muda kujadili hizi mambo,hawa watu niazao sio mjema juu ya faifa letu.
 
Hii siasa ya kuleta wawekezaji naona imekuwa mwiba kwa nchi hii mikataba mingi ni ya hovyo kabisa.
Kuna wawekezaji Tanzania wazalendo wamewekeza pesa nyingi kuliko wageni kwanini tusijikite kukuza wawekezaji wa ndani ya nchi.

Tatizo siyo uzoefu wapewe wafanye makosa ndio wajifunze. Sidhani Azania Anashindwa kuendesha bandari
Anayejua Mapembelo Cargo wamewezaje kufanya uwekezaji mkubwa namna ile anifafanulie Mkuu.
 
Bado tunaendelea.
Screenshot_20230801-080642_WhatsApp.jpg
 
Back
Top Bottom