Tuseme tu ukweli, Dkt. Slaa kadiri anavyozeeka anazidi kuvurugika

Tafakari yetu

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2021
Posts
1,505
Reaction score
4,427
Yule Dkt. Slaa 'mtabe' wa kujenga hoja sio Dkt. Slaa huyu anayepuyanga tu bila hoja. Na hapa ndio tunakumbushwa juu ya kuchana na baadhi ya mambo umri ukikutupa mkono, balozi dkt. Slaa kaamua kukataa dhana hii ya wahenga.

Kauli ya kusema Waziri Mkuu sio halali kwa sababu mahakama ilibatilisha uhalali wa Ubunge wao hapa ndio panaacha maswali mengi na kutufanya tujiulize sana juu ya huyu 'mtabe' wa kujenga hoja, je ni umri umemuacha ila hataki kukubali kuachwa na umri au ndio kutafuta 'attention' ya kisiasa au ndo nitoke vipi?

Ninachojua na ninachofahamu kwa uelewa wangu mdogo mahakama haikubatilisha ushindi wa yeyote kwa sababu ni washindi halali kabisa na kupita bila kupingwa ni utaratibu ulio kisheria ila mahakama imeweka precedent na tafsiri pana zaidi kwa siku za mbeleni.

Kwa kuwa hakukuwa na 'precedent' kwenye suala hilo kabla ya uchaguzi mkuu wa 2020 hivyo uamuzi wa mahakama hautawagusa walioshinda bila kupingwa kwenye uchaguzi wa 2020 au kabla.

Dkt. Slaa aache siasa nyepesi zisizolingana na umri wake, umri wake ni wa siasa za ushauri.
 
Wewe ndio kadiri unavyokua unapungukiwa na AKILI.

MAHAKAMA ikisema imesema kupingana na Mahakama ni Kukata Rufaa kwa Mujibu wa Katiba ya Nchi hakuna sheria inayompa mtu UBUNGE kwa kupita bila kupingwa ni Ujinga wa Magufuli wa kusimamia Ujinga huu.
 
Yule Dkt.Slaa 'mtabe' wa kujenga hoja sio Dkt.Slaa huyu anayepuyanga tu bila hoja. Na hapa ndio tunakumbushwa juu ya kuchana na baadhi ya mambo umri ukikutupa mkono, balozi dkt. Slaa kaamua kukataa dhana hii ya wahenga.
ke ni wa siasa za ushauri.
Kisheria alichosema Dr Slaa ndio ukweli kulingana na katiba yetu.

Lakini sisi kwa vile ni watu wa HOVYO ndio maana hata wale 19 wasio na chama bado wako ndani ya Bunge wakati nchi zingine sio kutokuwepo tuu bungeni bali hizo nyaraka za kugushi zingeweza tayari kuwaweka jela wao na wahusika wengine.

Taifa la HOVYO SANA
 
Yule Dkt.Slaa 'mtabe' wa kujenga hoja sio Dkt.Slaa huyu anayepuyanga tu bila hoja. Na hapa ndio tunakumbushwa juu ya kuchana na baadhi ya mambo umri ukikutupa mkono, balozi dkt. Slaa kaamua kukataa dhana hii ya wahenga...
Wewe bila shaka utakuwa umepatwa na uwendawazimu.

Huwezi kuwa na uwezo wa kuwatambua wenye hekima na uelewa mpana.

Waombe ndugu zako wakufikishe hospitali. Pole kwa hayo maradhi yaliyoshambulia ubongo wako.
 
Mleta mada kwa uwendawazimu alio nao, hana hata sifa ya kulinganishwa na yeyote mwenye akili timamu.

Huyu yawezekana ni punguani au amepatwa na uwendawazimu.
🤣🤣🤣Tena punguani haswaaa
 
Kisheria alichosema Dr Slaa ndio ukweli kulingana na katiba yetu.

Lakini sisi kwa vile ni watu wa HOVYO ndio maana hata wale 19 wasio na chama bado wako ndani ya Bunge wakati nchi zingine sio kutokuwepo tuu bungeni bali hizo nyaraka za kugushi zingeweza tayari kuwaweka jela wao na wahusika wengine.

Taifa la HOVYO SANA
Mbona kwenye ngazi ya urais kuna vyama havisimamishi wagombea ila haisemwi ? Mgombea kupita bila kupingwa ni kutimiza hitaji na takwa la demokrasia
 
Yule Dkt. Slaa 'mtabe' wa kujenga hoja sio Dkt. Slaa huyu anayepuyanga tu bila hoja. Na hapa ndio tunakumbushwa juu ya kuchana na baadhi ya mambo umri ukikutupa mkono, balozi dkt. Slaa kaamua kukataa dhana hii ya wahenga.

Kauli ya kusema Waziri Mkuu sio halali kwa sababu mahakama ilibatilisha uhalali wa Ubunge wao hapa ndio panaacha maswali mengi na kutufanya tujiulize sana juu ya huyu 'mtabe' wa kujenga hoja, je ni umri umemuacha ila hataki kukubali kuachwa na umri au ndio kutafuta 'attention' ya kisiasa au ndo nitoke vipi?

Ninachojua na ninachofahamu kwa uelewa wangu mdogo mahakama haikubatilisha ushindi wa yeyote kwa sababu ni washindi halali kabisa na kupita bila kupingwa ni utaratibu ulio kisheria ila mahakama imeweka precedent na tafsiri pana zaidi kwa siku za mbeleni.

Kwa kuwa hakukuwa na 'precedent' kwenye suala hilo kabla ya uchaguzi mkuu wa 2020 hivyo uamuzi wa mahakama hautawagusa walioshinda bila kupingwa kwenye uchaguzi wa 2020 au kabla.

Dkt. Slaa aache siasa nyepesi zisizolingana na umri wake, umri wake ni wa siasa za ushauri.
Hufanani na jina lako la Tafakari kabisa kumbe Akili yako ni ndogo sana ktk kung'amua mambo.Futa hilo jina.kama hata alichosema slaa huelewi sasa ww huwa unatakari nn?
 
Yule Dkt. Slaa 'mtabe' wa kujenga hoja sio Dkt. Slaa huyu anayepuyanga tu bila hoja. Na hapa ndio tunakumbushwa juu ya kuchana na baadhi ya mambo umri ukikutupa mkono, balozi dkt. Slaa kaamua kukataa dhana hii ya wahenga.

Kauli ya kusema Waziri Mkuu sio halali kwa sababu mahakama ilibatilisha uhalali wa Ubunge wao hapa ndio panaacha maswali mengi na kutufanya tujiulize sana juu ya huyu 'mtabe' wa kujenga hoja, je ni umri umemuacha ila hataki kukubali kuachwa na umri au ndio kutafuta 'attention' ya kisiasa au ndo nitoke vipi?

Ninachojua na ninachofahamu kwa uelewa wangu mdogo mahakama haikubatilisha ushindi wa yeyote kwa sababu ni washindi halali kabisa na kupita bila kupingwa ni utaratibu ulio kisheria ila mahakama imeweka precedent na tafsiri pana zaidi kwa siku za mbeleni.

Kwa kuwa hakukuwa na 'precedent' kwenye suala hilo kabla ya uchaguzi mkuu wa 2020 hivyo uamuzi wa mahakama hautawagusa walioshinda bila kupingwa kwenye uchaguzi wa 2020 au kabla.

Dkt. Slaa aache siasa nyepesi zisizolingana na umri wake, umri wake ni wa siasa za ushauri.
Usimkosee adabu Dkt. Slaa wewe kijana, kwa mistari hiyo mifupi uliyoandikabado hujafika popote na elimu uliyo nayo na wala hutafikia hata asilimia 0.0001 ya mchango ambao Dkt. amefanya kwa nchi.
 
Back
Top Bottom