Tuseme tu ukweli, Dkt. Slaa kadiri anavyozeeka anazidi kuvurugika

Yule Dkt. Slaa 'mtabe' wa kujenga hoja sio Dkt. Slaa huyu anayepuyanga tu bila hoja. Na hapa ndio tunakumbushwa juu ya kuchana na baadhi ya mambo umri ukikutupa mkono, balozi dkt. Slaa kaamua kukataa dhana hii ya wahenga.

Kauli ya kusema Waziri Mkuu sio halali kwa sababu mahakama ilibatilisha uhalali wa Ubunge wao hapa ndio panaacha maswali mengi na kutufanya tujiulize sana juu ya huyu 'mtabe' wa kujenga hoja, je ni umri umemuacha ila hataki kukubali kuachwa na umri au ndio kutafuta 'attention' ya kisiasa au ndo nitoke vipi?

Ninachojua na ninachofahamu kwa uelewa wangu mdogo mahakama haikubatilisha ushindi wa yeyote kwa sababu ni washindi halali kabisa na kupita bila kupingwa ni utaratibu ulio kisheria ila mahakama imeweka precedent na tafsiri pana zaidi kwa siku za mbeleni.

Kwa kuwa hakukuwa na 'precedent' kwenye suala hilo kabla ya uchaguzi mkuu wa 2020 hivyo uamuzi wa mahakama hautawagusa walioshinda bila kupingwa kwenye uchaguzi wa 2020 au kabla.

Dkt. Slaa aache siasa nyepesi zisizolingana na umri wake, umri wake ni wa siasa za ushauri.
Anavurugika kumshinda Kikwete?
 
Mzee kavurugika mpaka kajivuruga kabisa, mpaka kavuliwa hadhi ya ubalozi. Kwenye Uzi huu nilimshauri umri umemtupa hatakiwi kufanya yale aliyofanya.
 
MBONA HATA WEWE UMEVURUGIKIWA BADO KIJANA?
 
Nikiwa na umri kama wa Dkt.Slaa nitakuwa mshauri na nitajikita kwenye kutoa ushauri Kwa sababu nitakuwa na mengi ya kushauri.

Juu ya mimi kuvurugika, wewe wasema.
 
Mzee kavurugika mpaka kajivuruga kabisa, mpaka kavuliwa hadhi ya ubalozi. Kwenye Uzi huu nilimshauri umri umemtupa hatakiwi kufanya yale aliyofanya.
Unaona sifa kukumbatia hadhi ya ubalozi huku rasilimali zetu zikitolewa milele kwa waarabu?

Hujielewi.
 
Back
Top Bottom