Tuseme tu ukweli, Dkt. Slaa kadiri anavyozeeka anazidi kuvurugika

Anavurugika kumshinda Kikwete?
 
Mzee kavurugika mpaka kajivuruga kabisa, mpaka kavuliwa hadhi ya ubalozi. Kwenye Uzi huu nilimshauri umri umemtupa hatakiwi kufanya yale aliyofanya.
 
MBONA HATA WEWE UMEVURUGIKIWA BADO KIJANA?
 
MBONA HATA WEWE UMEVURUGIKIWA BADO KIJANA?
Nikiwa na umri kama wa Dkt.Slaa nitakuwa mshauri na nitajikita kwenye kutoa ushauri Kwa sababu nitakuwa na mengi ya kushauri.

Juu ya mimi kuvurugika, wewe wasema.
 
Mzee kavurugika mpaka kajivuruga kabisa, mpaka kavuliwa hadhi ya ubalozi. Kwenye Uzi huu nilimshauri umri umemtupa hatakiwi kufanya yale aliyofanya.
Unaona sifa kukumbatia hadhi ya ubalozi huku rasilimali zetu zikitolewa milele kwa waarabu?

Hujielewi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…