Tuseme tu ukweli, ujenzi unahitaji kujinyima sana

Tukiona vijana wanajinyima starehe, anasa, matumizi holela tunafurahi sana.

Leo ni siku ya vijana kufunguka: Ni changamoto gani ulikutana nayo au unakutana nayo wakati unajenga nyumba yako? Umekwama wapi?

Shea nasi uzoefu tujifunze kwa pamoja.
Mna komplicate tuu maisha ,kama huna pesa unajenga Ili uvumbue nini? Kwanza utaishia kujenga kibanda badala ya nyumba.
 
Kujenga nyumba ya "kuishi" ni kupoteza rasilimali.. Jenga nyumba ya kuuza au kupangisha.. full stop..

Wanaojinyima wanajenga nyumba za kuishi na hapo ndipo fikra zao zinapoishia..
Usidanganyike angalia hali uliyonayo, wengine wanafamilia kubwa itagharimu fedha nyingi kupanga hivyo, ni vema ukajenga.

Wenye famila ndogo, hilo linawezekana lakini pia kukaa nyumba uliojenga kwa design yako unayoipenda wewe ina raha sana.
 
Yote hayo.yanasababishwa na boss mwenyewe mtu anataka.kitu.bora lakin.hayuko tayar kukigharamikia anataka mtelemko sasa kwenye ujenz ukipenda vya dezo lakin ikugharimu Mara mbili usijal cost jali ubora wa bidhaa na huduma.note nimeongea kulingana na uzoefu wangu Mimi ni fund
 
Huyo wa laki tisa.atakuingiza chaka matokeo yake utayapata badae Sana mkuu saiz utajiona umeokoa jambo time will tell
Fundi kaniambia et kuta atainua wa million tatu!!!!

Vyumba vipo vi5
Nkaona ujinga hu ngoj nili pozi njichange
Wakat naendelea kawaza kuna mwingine kaomba kazi atajenga kwa laki9
Nae bado nnamfikilia hapa
 
Tukiona vijana wanajinyima starehe, anasa, matumizi holela tunafurahi sana.

Leo ni siku ya vijana kufunguka: Ni changamoto gani ulikutana nayo au unakutana nayo wakati unajenga nyumba yako? Umekwama wapi?

Shea nasi uzoefu tujifunze kwa pamoja.
Fedha za kumalizia ujenzi mkuu zinanisumbua sana
 
Tukiona vijana wanajinyima starehe, anasa, matumizi holela tunafurahi sana.

Leo ni siku ya vijana kufunguka: Ni changamoto gani ulikutana nayo au unakutana nayo wakati unajenga nyumba yako? Umekwama wapi?

Shea nasi uzoefu tujifunze kwa pamoja.
Nilipata Stress baada ya kupiga mahesabu ya kupaua nyumba yangu iliyotosha 9M. Badala yake ikafika 14M. Nilichanganyikiwa.
 
Fundi kaniambia et kuta atainua wa million tatu!!!!

Vyumba vipo vi5
Nkaona ujinga hu ngoj nili pozi njichange
Wakat naendelea kawaza kuna mwingine kaomba kazi atajenga kwa laki9
Nae bado nnamfikilia hapa
Inategemea na eneo. Hiyo milioni Tatu mpe especially kama ni mjini.

Kwa vijijiji sawa
 
Kwenye ufundi bwana mimi sijawahi ona Nyumba inabomoka kwa sababu ufundi mbovu. Tumeishi huko mikoani nyumba zinajengwana mafundi very local. Tangu nizaliwe na sasa nazeeka sijawahi ona.

Ujenzi ni standards za wastani hakuna haja ya mbwembwe na gharama kubwa. Unless kama unajenga ghorofa
 
Naongea Mimi ni fund mkuu kaz zake hazikup guarantee ya kuwa kaz Zake ni bora fuata ushaur wangu.mchukue hyo wa million tatu ongeen kiume akupunguzie lakin.ukisema utafuata unafuu bira kuangalia ubora itakula kwako

3millio kwa vyumba vi tatu vyakulal na sebule mkuu Hapana
 
Eti ili nipumue niwajengee angalau vyumba vitatu kwa kipato cha 15000 kwa siku na kula humohumo huyo si adhabu wadau?
 
Mwenye masikio na asikie☺☺
 
😍
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…