Kimsingi akuwekee quotation,
Nenda kwenye maduka kazunguke uulize bei zao!
Kama ni vifaa waweza pata kwa ma agent nenda kwa hayo maduka,
Utapunguza kwa kiasi fulani upigaji
Nimetumia kichuguu cha nchwa kujazia kifusi kwenye nyumba.. hapa naambiwa nahitaji kuikinga saana iyo nyumba kuhusiana na nchwa...
Napagawa tu hapa sielew hata napiga dawa gani .
Msaada wadau
Aah aah aaah.... Ubaya upo bro. Inatakiwa upige dawa pale chini nyumba nzima.. then upige zege floor inch kama moja upana hivi... Afu dawa teena then tiles zifate.. na kech zipige hata oil chafu.Heee kuna ubaya?
Mi nilijaza kifusi cha kichuguu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Na fundi alinishauri
Jamani Kupaua kusikieni tu kha!!!
Mi bado kupaua ila mh!!!! Bati tu nimeambiwa Milioni 4 na Jua hili linavyochoma hadi Mifuko nipo hoi!!!!Daa mimi hata sijapaua nipo msingi ila nimeshachoka hapa nilipo🥲
Hapo ndio kwenye ujenzi sasa, jitahidi upavuke kwani furaha yake baada ya kupaua haielezeki.Jamani Kupaua kusikieni tu kha!!!
Wapi?Hapo ndio kwenye ujenzi sasa, jitahidi upavuke kwani furaha yake baada ya kupaua haielezeki.
Karibu tukuuzie mbao imara zilizochemshwa na mashine ya dawa. Hutajuta.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Huo utopolo wa kuzika pesa nilishaukataa mimi
Tupo Buguruni chama au wasiliana nasi kwa namba hii 0782 425190.Wapi?
Jitahidi upate fundi mwaminifu. Hakuna stage ya ujenzi yenye wizi mkubwa kama katika paa. Mbao na bati inakupasa uwe makini sana.Mi bado kupaua ila mh!!!! Bati tu nimeambiwa Milioni 4 na Jua hili linavyochoma hadi Mifuko nipo hoi!!!!
NjombeUpande wa mbao mimi haikuwa tatizo kwasababu nilikojengea mbao ni nyingi na wapasua mbao walikuwa jamaa zangu.
Duh!!!! Aseeeeee.......Jitahidi upate fundi mwaminifu. Hakuna stage ya ujenzi yenye wizi mkubwa kama katika paa. Mbao na bati inakupasa uwe makini sana.
Fundi kaniambia et kuta atainua wa million tatu!!!!
Vyumba vipo vi5
Nkaona ujinga hu ngoj nili pozi njichange
Wakat naendelea kawaza kuna mwingine kaomba kazi atajenga kwa laki9
Nae bado nnamfikilia hapa
Uko sahihi sana kwa jinsia yako wewe huitaji kuumiza kichwa anayetakiwa kuumiza kichwa ni mumeo kama unaye!Huo utopolo wa kuzika pesa nilishaukataa mimi
Ulikosea mkuu wenzako wanakimbia vichuguu wewe unahamishia ndani?Nimetumia kichuguu cha nchwa kujazia kifusi kwenye nyumba.. hapa naambiwa nahitaji kuikinga saana iyo nyumba kuhusiana na nchwa...
Napagawa tu hapa sielew hata napiga dawa gani .
Msaada wadau
Nimejenga nyumba kwa gharama kubwa kwa uwezo wangu then naona crack ukutani kutokana na jua hili miaka yote sijaona crack isipokuwa mwaka huuTukiona vijana wanajinyima starehe, anasa, matumizi holela tunafurahi sana.
Leo ni siku ya vijana kufunguka: Ni changamoto gani ulikutana nayo au unakutana nayo wakati unajenga nyumba yako? Umekwama wapi?
Shea nasi uzoefu tujifunze kwa pamoja.
Mimi nilinunua vifaa vya bomba kama vya laki tatu hivi lakini vikawa na leakage, kumbe ni fake nikanunua vya bei kubwa ikawa poaKununua vifaa vya umeme feki na kujikuta napaswa kununua tena [emoji19]
Unfortunately kila siku bati zinapanda,tuseme ukijikusanya ukapata hela ya kununua bati disemba mwishoni ukaingia dukani kununua unakuta tena pesa haitoshi.Mi bado kupaua ila mh!!!! Bati tu nimeambiwa Milioni 4 na Jua hili linavyochoma hadi Mifuko nipo hoi!!!!