KARLO MWILAPWA
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 3,250
- 5,509
Tuseme kweli na tusinyamaze kwa sababu kama tukinyamaza basi mawe yatasema na ukweli ni kwamba :
1. CCM ipo mbele sana ya muda kwenye maendeleo. CCM inabadilika na dunia inavyobadilika.
2. Mabadiliko ya kiuchumi ni nyenzo ya ukombozi kuliko mageuzi ya kisiasa katika Karne hii na CCM inatupatia mabadiliko ya kweli ya kiuchumi.
3. CCM itashinda kwa kishindo sana uchaguzi Mkuu wa 2025 ,ni mwanzo ya historia na enzi mpya.
4. CCM ni jabali na mwamba mgumu sana ,baruti haziwezi kuutikisa.
5. Wapinzani wengi wanaikubali CCM sana na utanzania na utu wetu upo katika imani ya CCM.
KAZI NA UTU, TUNASONGA MBELE imebeba ujumbe mzito wa kesho njema ya Tanzania