KARLO MWILAPWA
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 3,250
- 5,509
Chama kipo mbele kivipi wakati kutwa kucha kukimbizana na wapinzan na na mitutu ya bunduki sasa, umbele wenu ni upi hapo bwana karlo mwilapwa kutumia vyombo vya dola na tume ya uchaguzi kupambana na wapizani wenu?Tuseme kweli na tusinyamaze kwa sababu kama tukinyamaza basi mawe yatasema na ukweli ni kwamba :
1. CCM ipo mbele sana ya muda kwenye maendeleo. CCM inabadilika na dunia inavyobadilika.
2. Mabadiliko ya kiuchumi ni nyenzo ya ukombozi kuliko mageuzi ya kisiasa katika Karne hii na CCM inatupatia mabadiliko ya kweli ya kiuchumi.
3. CCM itashinda kwa kishindo sana uchaguzi Mkuu wa 2025 ,ni mwanzo ya historia na enzi mpya.
4. CCM ni jabali na mwamba mgumu sana ,baruti haziwezi kuutikisa.
5. Wapinzani wengi wanaikubali CCM sana na utanzania na utu wetu upo katika imani ya CCM.
KAZI NA UTU, TUNASONGA MBELE imebeba ujumbe mzito wa kesho njema ya Tanzania
Duniani kote hakuna serikali inachekea ujinga na Kuna taratibu za kufanya vitu kwa utaratibu kama mtu anajisahaulisha anawekwa sawa bila kuathiri amaniChama kipo mbele kivipi wakati kutwa kucha kukimbizana na wapinzan na na mitutu ya bunduki sasa, umbele wenu ni upi hapo bwana karlo mwilapwa kutumia vyombo vya dola na tume ya uchaguzi kupambana na wapizani wenu?
Kazi na utu ndio Imani ya CCMHasa kwenye sekta ya kuteka na kuua
Utekaji na mauaji ni imani ya nani?Kazi na utu ndio Imani ya CCM
Kwa fitna na majungu na dhulma ni kweli hakuna chama cha siasa duniani kitaishinda ccm.Tuseme kweli na tusinyamaze kwa sababu kama tukinyamaza basi mawe yatasema na ukweli ni kwamba :
1. CCM ipo mbele sana ya muda kwenye maendeleo. CCM inabadilika na dunia inavyobadilika.
2. Mabadiliko ya kiuchumi ni nyenzo ya ukombozi kuliko mageuzi ya kisiasa katika Karne hii na CCM inatupatia mabadiliko ya kweli ya kiuchumi.
3. CCM itashinda kwa kishindo sana uchaguzi Mkuu wa 2025 ,ni mwanzo ya historia na enzi mpya.
4. CCM ni jabali na mwamba mgumu sana ,baruti haziwezi kuutikisa.
5. Wapinzani wengi wanaikubali CCM sana na utanzania na utu wetu upo katika imani ya CCM.
KAZI NA UTU, TUNASONGA MBELE imebeba ujumbe mzito wa kesho njema ya Tanzania
Sindano ya Askofu haikua na ganzi lazima mpoteane.Tuseme kweli na tusinyamaze kwa sababu kama tukinyamaza basi mawe yatasema na ukweli ni kwamba :
1. CCM ipo mbele sana ya muda kwenye maendeleo. CCM inabadilika na dunia inavyobadilika.
2. Mabadiliko ya kiuchumi ni nyenzo ya ukombozi kuliko mageuzi ya kisiasa katika Karne hii na CCM inatupatia mabadiliko ya kweli ya kiuchumi.
3. CCM itashinda kwa kishindo sana uchaguzi Mkuu wa 2025 ,ni mwanzo ya historia na enzi mpya.
4. CCM ni jabali na mwamba mgumu sana ,baruti haziwezi kuutikisa.
5. Wapinzani wengi wanaikubali CCM sana na utanzania na utu wetu upo katika imani ya CCM.
KAZI NA UTU, TUNASONGA MBELE imebeba ujumbe mzito wa kesho njema ya Tanzania
Ndiyo kipo mbele kwenye utekaji na kuwa na wendawazimu wengiTuseme kweli na tusinyamaze kwa sababu kama tukinyamaza basi mawe yatasema na ukweli ni kwamba :