Tuseme ukweli hakuna kutoka povu Je Baba wa Taifa angekubali Samia na Mwinyi kuwa wagombea?

Jamani naanzisha zogo kile kimetokea mkutano mkuu Hayati baba wa Taifa angekuwa hai kingepita yaani Mzanzibari Bara na Mzanzibari visiwani yaani nchi ipo luteka naomba kuwasilisha naomba kuwasilisha je 😄 Nyerere angekubali?
Kigugumizi ni huyo wa maji chumvi kutaka kuongoza kwa miaka 15 sijui katiba yao insemaje
 
Jamani naanzisha zogo kile kimetokea mkutano mkuu Hayati baba wa Taifa angekuwa hai kingepita yaani Mzanzibari Bara na Mzanzibari visiwani yaani nchi ipo luteka naomba kuwasilisha naomba kuwasilisha je 😄 Nyerere angekubali?
Kwani Nyerere ndio nani mbele ya wenye nchi yao?. Hawa ni Watanzania, wakiamua ni wameamua, viongozi hao wamepitishwa na CCM, hata Nyerere angekuwepo angefanya nini?.
P
 
Kama Mwinyi alikuwa Rais, kuna tofauti kwa Samia?

Kama kuna Rais wa CCM ame qualify kushinda wengine basi ni Samia.

Kinachomponza huyu mama ni kuwa yeye ni mwanamke, mzanzibari, amejiingiza kwenye mtego wa kubagaza demokrasia, na kujaribu kuvunja upinzani kupitia mwanae.
 
Jamani naanzisha zogo kile kimetokea mkutano mkuu Hayati baba wa Taifa angekuwa hai kingepita yaani Mzanzibari Bara na Mzanzibari visiwani yaani nchi ipo luteka naomba kuwasilisha naomba kuwasilisha je 😄 Nyerere angekubali?
Mbona yeye alitawala miaka ishirini na mpaka akamfunga rais wa Zanzibar ?
 
Kwani hao Raia, sio raia wa Tanzania
 
Katiba mbovu na muungano usioeleweka ni urithi alioacha Nyerere. Mzanzibari anaweza kuwa Rais wa Tanganyika ila Mtanganyika hawezi kuwa Rais wa Zanzibar.
 
Jamani naanzisha zogo kile kimetokea mkutano mkuu Hayati baba wa Taifa angekuwa hai kingepita yaani Mzanzibari Bara na Mzanzibari visiwani yaani nchi ipo luteka naomba kuwasilisha naomba kuwasilisha je 😄 Nyerere angekubali?
Baba wa taifa asingekubali. Lawama zote ziende kwa jk kwani badala ya kujifanya ndio mzee wa ccm peke yake baada ya kubakia rais mstaafu peke ilimlazimu kutumia busara awashirikishe mawaziri wakuu wastaafu kama mzee Msuya na Mzee Malecela. Mwenyewe jk anakubaliana na mawazo ya mzee makamba kutojali katiba na taratibu. Samia alitakiwa kuingia kinyanganyiro kugombea na wengine ugombea nafasi ya kugombea urais. Mwenyewe amepwaya sana na kiwango cha uadilifu aliyojenga jpm amekiacha kushuka kusudi kwa kushikamana na wale wahuni jpm alipambana kuwadhibiti. Kuna hatari ccm kushindwa vibaya october ikiwa itafanya uchaguzi huru. Samia huenda akalazimika kuwarudisha kazini wale wezi stadi wawili wa kura aliyojidai kawatema.
 
Ina maana wewe hujui kama Nyerere amewahi kumtoa Mzanzibari awe raisi bara na mzanzibari mwengine awe raisi visiwani? Hoja ya kipuuzi kabisa hii
 
Jamani naanzisha zogo kile kimetokea mkutano mkuu Hayati baba wa Taifa angekuwa hai kingepita yaani Mzanzibari Bara na Mzanzibari visiwani yaani nchi ipo luteka naomba kuwasilisha naomba kuwasilisha je 😄 Nyerere angekubali?
Kwasasa hili taifa ni yatima
 
Jamani naanzisha zogo kile kimetokea mkutano mkuu Hayati baba wa Taifa angekuwa hai kingepita yaani Mzanzibari Bara na Mzanzibari visiwani yaani nchi ipo luteka naomba kuwasilisha naomba kuwasilisha je 😄 Nyerere angekubali?
Mbona yeye alimuachia marehem mzee Alliy Hasan Mwinyi?
 
Baba wa taifa asingekubali. Lawama zote ziende kwa jk kwani badala ya kujifanya ndio mzee wa ccm peke yake baada ya kubakia rais mstaafu peke ilimlazimu kutumia busara awashirikishe mawaziri wakuu wastaafu kama mzee Msuya na Mzee Malecela. Mwenyewe jk anakubaliana na mawazo ya mzee makamba kutojali katiba na taratibu. Samia alitakiwa kuingia kinyanganyiro kugombea na wengine ugombea nafasi ya kugombea urais. Mwenyewe amepwaya sana na kiwango cha uadilifu aliyojenga jpm amekiacha kushuka kusudi kwa kushikamana na wale wahuni jpm alipambana kuwadhibiti. Kuna hatari ccm kushindwa vibaya october ikiwa itafanya uchaguzi huru. Samia huenda akalazimika kuwarudisha kazini wale wezi stadi wawili wa kura aliyojidai kawatema.
Eti Kuna hatari CCM kushindwa October. It's a day dream
 
Kitu pekee ambacho nina uhakika mwalimu angepinga ni kuvunjwa kwa taratibu za chama za kuteua wagombea.

Ukishaanza vya kunyonga basi vya kuchinja hautovitaka tena, 2030 mwendo utakuwa huohuo, kwenye mkutanokuu anaibuka mjumbe aliyepangwa anasema nampendekeza fulani kisha imetoka hiyo.

Kwenye mambo kama haya mwalimu angeshakuwa ameita mkutano na vyombo vya habari na kuweka msimamo wake wazi.

Kwasasa Kikwete ameamua kuwa mpole, labda wazee watamtuma Jaji Warioba aanze kusema.
 
Kuna mwingine alisema wawili hawa ni ndugu 😂😂😂
 
Back
Top Bottom