Tuseme ukweli hakuna kutoka povu Je Baba wa Taifa angekubali Samia na Mwinyi kuwa wagombea?

Tuseme ukweli hakuna kutoka povu Je Baba wa Taifa angekubali Samia na Mwinyi kuwa wagombea?

Nyerere ndo mmiliki wa Tanzania?

Hata yeye angeliwa kichwa watu wakiamua jambo lao. Hata Samia mnaweza kumvua urais mkiamua hakuna mtu mwenye haki miliki ya nchi.
 
Jamani naanzisha zogo kile kimetokea mkutano mkuu Hayati baba wa Taifa angekuwa hai kingepita yaani Mzanzibari Bara na Mzanzibari visiwani yaani nchi ipo luteka naomba kuwasilisha naomba kuwasilisha je 😄 Nyerere angekubali?
Mwaka 1985 na mwaka 1990 mkutano mkuu wa ccm ulimpitisha mzee Ali Hassan Mwinyi kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na upande wa Zanzibar Mzee Iddris Abdul wakeel akigombea urais wa zanzibar 1985 na dr salmin amour mwaka 1990.
 
Back
Top Bottom