Jamani naanzisha zogo kile kimetokea mkutano mkuu Hayati baba wa Taifa angekuwa hai kingepita yaani Mzanzibari Bara na Mzanzibari visiwani yaani nchi ipo luteka naomba kuwasilisha naomba kuwasilisha je 😄 Nyerere angekubali?
Mwaka 1985 na mwaka 1990 mkutano mkuu wa ccm ulimpitisha mzee Ali Hassan Mwinyi kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na upande wa Zanzibar Mzee Iddris Abdul wakeel akigombea urais wa zanzibar 1985 na dr salmin amour mwaka 1990.