Mie Ni Kama wewe. Nikikaa na mtu ananiambia soda nikicheki Kama Kuna matunda naagiza otherwise maji ama supu ya ulimi ,mkia, kuku,samaki,maziwa fresh ,green tea na limao nakunywa kavu ama Kama hizo juisi za asilia ulivyosema.hata Kama kunywa Azam Ni kwa nadra mno tokea kiwanda kimefunguliwa labda hazidi Mara tano.
Yaani Hawa wahindi na waarabu watatumaliza afya zetu jamani na watalaamu wetu walivyo na njaa Kama viongozi wetu tu. Akipigwa fungu ama bahasha Nene ananyamaza kimya na kubakia kusifia Ni sawa Hawa wapinzani wamelambishwa asali kazi kutukana marehemu.
Cheki biashara za juisi Kama Prof Muhongo alivyodai kuwa ndio uwezo wa watanzania huku Kuna sayona,Mara Jambo,Mara Azam Mara Kuna Mo na zingine nyingi na Hawa wote Ni waarabu na wahindi na wanajulikana Tabia zao wanavyotufanyiaga hata wakiwa wametuajiri.
Afya Ni jukumu lako mwenyewe subiria eti serikali.
Yaani huwa naumia kumuona mama anampatia mwananye juisi eti Jambo mengo yaani natamani nimzabe kibao.
Haya Mambo wife nishamwambia kitambo naweza nikampatia talaka.
Ukwaju upo sokoni jamani na ubuyu mie nakuwa ndani.