Tuseme ukweli kuhusiana na Bidhaa za Azam. Kuna mengi tunayanyamazia…

Brand brand brand si ya kwake

Na watu wanangalia afya zao

Ova
 
Brand brand brand si ya kwake

Na watu wanangalia afya zao

Ova
Ushahidi unaonyesha kwamba Sodium Benzoate ikichanganywa na hiyo Ascorbic acid inatengeneza sumu ya benzene inayoleta makansa, sasa sijui anataka ushahidi gani zaidi ya kusoma ingridients kwenye label
 
Ushahidi unaonyesha kwamba Sodium Benzoate ikichanganywa na hiyo Ascorbic acid inatengeneza sumu ya benzene inayoleta makansa, sasa sijui anataka ushahidi gani zaidi ya kusoma ingridients kwenye label
Kuna wadau humu wanakuambia wabongo wana husda,oh wanaaribu brand yake blah blah
Sasa wanaozitumia hizo afya zao vp

Ova
 
Sijaendelea kusoma zaidi, ulivyotaja maziwa ya Azam tu nimeelewa, nashukuru kuwa ninajitambua na sijawahi kunywa hayo maziwa ambayo yamechukuliwa unga wa maziwa imported na kukorogwa. I'm serious kwenye issues za afya kuliko ushabiki
Sidhani Kama utaweza nishinda mfano hapa mchana nimepiga uji wa ulezi bila sukari,viazi vitamu vimechemshwa ,mboga za majani na ndizi mbivu moja Basi imetoka. Nishapiga marufuku majuisi ya dukani. Kama ngano nanunua ngano nzima nasaga huwa situmii ngano iliyokubolewa Nina miaka sijawahi kula chapati Andazi ama kitumbua. Mana sijawahi pata mtu akaugua akaambiwa kula sukari chumvi ama mafuta ya kula mengi. Yaani watu Ni walevi wa instant gratification ya dopamine zao sema hawajui. Na wanavyotangaziwa kila muda mpaka wanakariri na wanaona maisha Ni kula ngano iliyokubolewa na majuisi ya unga na sukari wanaambiwa kuwa Ni embe ama epo so ununue embe ama epo utengeneze mwenyewe. Sema watu wanapenda kilicho tayari mkononi
 
Chizi umeandika mambo magumu wamekupiga pin 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Huwezi kwepa sumu hasa mjini unaamka sumu unalala sumu. Mboga za majani karibu zote sumu.
Muhimu kula vyakula viondoa sumu
Kwa hiyo hii ndio inahalalisha Azam kujaza sumu kwenye vinywaji vyake!?
 
Kwa hiyo hii ndio inahalalisha Azam kujaza sumu kwenye vinywaji vyake!?
Mamlaka zimelala,ufuata bahasha tu.
We uoni watu mtaani wanafungiwa vyakula kwenye magazeti na nailoni, wanatumia vyombo vya plastic kuwekea vyakula vya moto.
Nailoni kufunikia ugali eti usipoe.
Thus kansa imejaa
 
Soda sio juice.
 
Nimemsoma tena jamaa... Mfungulieni. Alichokipost ni hoja nzito sana. Asizibwe mdomo.
 
Halafu Hawa wake zetu nao Wanakuwa wa kwanza kuwanunulia huu uchafu. Nimegombana Sana na wife kuhusu kuendrkeza haya masoda mpaka watoto wananiona Mimi kauzu. Ninajitahii kutoa elimu ya health goods
 
Halafu Hawa wake zetu nao Wanakuwa wa kwanza kuwanunulia huu uchafu. Nimegombana Sana na wife kuhusu kuendrkeza haya masoda mpaka watoto wananiona Mimi kauzu. Ninajitahii kutoa elimu ya health goods
Mkuu komaa mwambie mwanao inabidi ale vya asili vyakula. Nunua embe saga juisi wanywe. Jaribu kumuonyesha huu Uzi wausome. Wife akiwa na mimba inabidi ale pure nutrients
 
Sinywagi hayo machemical. Hata watoto wangu nimeshawafundisha kuhusu health foods. Wife ndiyebado anazengua.
 
Haya sisi tunakunywa hizo unazoziita takataka wewe haunywi sasa huo mwili unamtunzia nani huko kaburini?
 
Mtoa taarifa hata chemistry tuu kawaida haijui... bro kuna vyanzo vingi vya kupeleka taarifa wakikfungulia mashtaka uthibitishe unacho kisema itaweza au itaitia hasara familia yenu tuuu
 
Reactions: Tui
Mchanganyiko wa sodium benzoate kwenye vyakula vya viwandani ni muhimu sn kuzuia fangasi wasiote kwny chakula na kiweze kidumu MDA mrefu sokoni.

Aidha mchangayiko huo wa sodium benzoate ukikutana na ascobic acid kwnyw kinywaji/chakula kile kile kwa pamoja huweza kuzalisha sumu hatari ya BENZENE ambayo Ni kemikali sumu Sana inayoshambulia vinasaba vya mwili, Yaani DNA.

Madhara ya uharibifu wa DNA hayaonekani leo Wala kesho Bali huathiri polepole kizazi mpk kizazi maana hutembea kwny viini vya uzalishaji wa mbegu za uhai (sperms &eggs).

NB:lengo la Uzi huu sio kuharibu biashara za watu, ila biashara isiyoangalia usalama wa vizazi vyetu Ni hatar Sana kwa usalama wa taifa letu.

Tafadhali,
HOJA IJIBIWE KWA HOJA

NAWASILISHA[emoji1431]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…