The Lastdream
JF-Expert Member
- Jan 23, 2024
- 1,970
- 4,616
Wakuu kwema
Nilikuwa nafuatilia vikao vya Bunge jana kwenye Tv.
Niseme kiukweli Mheshimiwa Tulia ackson ni mtu haswa haswa, huyu mama nimeelewa sasa Kwanini ni amekuwa raisi wa mabunge yote duniani.
Alikuwa anawa challenge wabunge ambao wengi wao nimeamini kichwani ni kweupe sana na hawawezi kujenga hoja kabisa mbele ya mheshimiwa Tulia ackson.
CCM ina baadhi ya watu makini sema kutokana na walio juu yao wanashindwa kufanya kazi zao kwa ufanisi mkubwa.
Mheshimiwa Tulia ackson ni jembe haswa na kichwani pamejaa madini.
Hongera Mheshimiwa Tulia ackson