Tuseme ukweli: Msimu huu Yanga kajipanga kuliko Simba

Nshomile wa Muleba

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2015
Posts
2,166
Reaction score
5,620
wadau habari?

naenda straight to the point ,kwa tathmini ya haraka haraka nki-compare kupitia chambuzi ,news and updates na sports club official apps and pages kati ya Simba na Yanga ,inaonekana dhahiri shahiri kuwa yanga wamejipanga haswa.

sina shaka na wao kunyakua ubigwa wao msimu huu utakaoanza hivi karibuni ,ukiaachilia mbali haji manara kutua klabuni apo.

Kama nakosea mtanikosoa but this is true guys !!!

kama mnanibishiaa save huu uzi mtanikumbuka mwakan mwez wa 5
View attachment 1910833
 
Kwa kumsajili Haji Manara au wale wacheza ndombolo ndo umeona wamejipanga, ngoja nikukumbushe, Simba ilipomsajili B.M, nyie mkamsajili Senzo, mkasema amekuja na Siri ya ushindi, lkn.... Huku Simba wakambeba B.M akaisaidia kuchukua makombe Mawili, Senzo akashinda kombe la mapinduzi, SASA basi Manara alifukuzwa Simba, ina maana tayari hakuwa na impact yoyote tofauti na kupiga domo, ndo useme mmejipanga? Wenzao SAA hizi Wana Kula tizi wao Wana promote jezi, Kwa hiyo jezi ndo litacheza?
 
kbsaa ...Jezi kali yani hadi rahaa
This is Yanga

mara paaa morison karudi
[emoji23][emoji23][emoji23]
Mwaka jana baada ya kumchukua Senzo mlikuja na ngonjera hizi huku mkishinda Airport na Machera kuwabeba akina Kalinyo.
Mwaka huuu mmmembeba Manara hamtaki kufanya Preason prep, mnashinda Studio kurekodi Jingoz za Papaaa Ngwasuma ujio wa Koffiii halafu Mnabwabwaja ooooh Mwaka huu Utopolo blaaaa blaaaaa kuliko Thimba!
Amkeni kumekucha, Senzo na Manara na hao wapaka PICCO wenu Ndombolo ya Sollo si kitu wala Lolote kwa Kanoute na SAKHO et al time will tell. Wacongo watamezwa na starehe za Kibongo fastaaaa hasa yule beki wenu Bangala ni Mlevi zaidi ya MALIMI BUSUNGU🤣🤣🤣🤣
 
Mmejipangaje hamjaanza kushinda? Tusubri ligi ianze alie jipanga atajitenga na wenzake.
sikutanii , nina source ya habari kutoka ndani ya simba ,unaambiwa wachezaji wamepoaa sanaa ,chama hayupo micqquison hayupo wamekuwa wanyonge sanaaa
 
Kwa kumsajili Haji Manara au wale wacheza ndombolo ndo umeona wamejipanga, ngoja nikukumbushe, Simba ilipomsajili B.M, nyie mkamsajili Senzo, mkasema amekuja na Siri ya ushindi, lkn.... Huku Simba wakambeba B.M akaisaidia kuchukua makombe Mawili, Senzo akashinda kombe la mapinduzi, SASA basi Manara alifukuzwa Simba, ina maana tayari hakuwa na impact yoyote tofauti na kupiga domo, ndo useme mmejipanga? Wenzao SAA hizi Wana Kula tizi wao Wana promote jezi, Kwa hiyo jezi ndo litacheza?
nyinyi mna nani ?

baadaya chama na micqquison kuondoka??

ntajie mtu mwenye uwezo wa kuziba hizo pengo 2

waliobaki n makolo
 
wadau habari?

naenda straight to the point ,kwa tathmini ya haraka haraka nki-compare kupitia chambuzi ,news and updates na sports club official apps and pages kati ya Simba na Yanga ,inaonekana dhahiri shahiri kuwa yanga wamejipanga haswa.

sina shaka na wao kunyakua ubigwa wao msimu huu utakaoanza hivi karibuni ,ukiaachilia mbali haji manara kutua klabuni apo.

Kama nakosea mtanikosoa but this is true guys !!!

kama mnanibishiaa save huu uzi mtanikumbuka mwakan mwez wa 5
Kajipanga kwenye nini? Maana kama ni maandalizi ya kikosi/timu Yanga kaachwa mbali sana maana mpaka wachezaji wapate fitness na muunganiko, tayari Simba watakuwa wako mbali maana mpaka sasa wametumia muda mwingi kutengeneza timu kwa mazoezi na mechi za majaribio. Sasa sijui huko kujipanga kwa Yanga kupo kwenye nyanja ipi hasa?
 
mwaka jana simba walicheza mechi nyingi za yanga wakishitikiana na tff, na hata hivyo waliupata kwa mbinde
 
Mwaka jana baada ya kumchukua Senzo mlikuja na ngonjera hizi huku mkishinda Airport na Machera kuwabeba akina Kalinyo.
Mwaka huuu mmmembeba Manara hamtaki kufanya Preason prep, mnashinda Studio kurekodi Jingoz za Papaaa Ngwasuma ujio wa Koffiii halafu Mnabwabwaja ooooh Mwaka huu Utopolo blaaaa blaaaaa kuliko Thimba!
Amkeni kumekucha, Senzo na Manara na hao wapaka PICCO wenu Ndombolo ya Sollo si kitu wala Lolote kwa Kanoute na SAKHO et al time will tell. Wacongo watamezwa na starehe za Kibongo fastaaaa hasa yule beki wenu Bangala ni Mlevi zaidi ya MALIMI BUSUNGU[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daaah eti tunarekodi ngwasuma

mkuu unazingua

Hii ni Yanga This is Yanga Timu ya wananchi cyo timu ya mwaarabu koko na hawara yake
 
Back
Top Bottom